KUELEKEA MECHI NA SIMBA KESHO….MABOSI AZAM FC WAAMUA KUFANYA UAMUZI HUU MGUMU….

0
Azam FC

Uongozi wa Azam FC umetangaza donge nono kwa Wachezaji wanaounda kikosi cha klabu hiyo, endapo watafanikiwa kuifunga Simba SC na kutonga Fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC msimu huu 2022/23. Azam FC itapapatuana na Simba SC Jumapili (Mei 07) katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, ukiwa mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya ASFC, huku mchezo mwingine...

KUHUSU ISHU YA MANULA KUWA NNJE MSIMU MZIMA…UKWELI HALISI NI HUU HAPA…

0
Habari za Simba leo

Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Salum Manura atakosekana kwenye michezo iliyosalia katika mashindano yote mpaka mwisho wa msimu huu. Hayo yameelezwa na Meneja wa Habari na mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally wakati akizungumza na wanahabari mjini Mtwara ambako timu hiyo imeweka kambi kujiandaa na mechi ya nusu fainali ya Kombe la shirikisho dhidi ya Azam FC. "Nyota wetu...

MBRAZILI SIMBA AANDAA PANGA ZITO…MASTAA HAWA KUPIGWA CHINI…NABI AKABIDHIWA BRUNO….

0
Gazeti la MwanaSpoti la leo

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumamosi ya 6/5/2023.

ZIMBWE JR AZIDI KUWAGARAGAZA WENZAKE SIMBA SC….MAMBO YAKE SIO POA AISEE..

0
Habari za Simba SC

Mbavu ya kushoto ya Simba SC, Mohamed Hussein 'Zimbwe JR' ameongoza kwa kucheza mechi nyingi zaidi kwenye kikosi hicho kwa kucheza dakika 2138 katika msimu huu wa Ligi 2022/23. Nyota anayemfuatia kikosini hapo ni Aish Manula ambaye amecheza dakika 2026, Henock Inonga (1927), Mzamiru Yassin (1881) na Shomari Kapombe ambaye amecheza dakika 1867. Kwenye michezo 27 ambayo Simba wamecheza mpaka sasa,...

KISA KAULI YA ‘KUFA KIUME’….MCHAMBUZI BONGO AWASHUKIA SIMBA SC….”KILA MWAKA WANAISHIA HAPO HAPO TU”…

0
Habari za SImba SC

Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini, Saleh Ally Jembe amesema kuwa Simba SC wanapaswa wabadilishe mawazo na mipango yao ili wajitume na kuhakikisha wanavuka katika hatua ya ya robo fainali ya michuano ya CAF baada ya kuwa wanakomea kwenye hatua hiyo kila mwaka. Jembe amesema hayo baada ya Simba SC kuondolewa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya...

NABI :- HAWA WASAUZI MBONA MAPEMA TU….

0
Habari za Yanga SC

Baada ya kumalizana na Singida Big Stars kwa kupata alama tatu muhimu jana Alhamis (Mei 04), Kocha Mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi ametoa kauli ya kibabe na kuthibitisha kuwa tayari kwa mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Nusu Fainali, Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini. Yanga SC itaanzia nyumbani Mei 10 katika Uwanja...

WAARABU WAPANGA KUMFANYIA KUFRU YA DUNIA MESSI…MSHAHARA WAKE WA RONALDO CHA MTOTO…

0
Messi to Saudi

Serikali ya Saudi Arabia imeandaa ofa kubwa zaidi katika historia ya soka la nchi hiyo ili kumnasa Nahodha na Mshambuliaji wa Mabingwa wa Dunia, Timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi. Matajiri hao wanataka kutengeneza historia mpya kwenye ligi ya Saudia, wakitaka kuwa na miamba miwili ya soka duniani, akiwemo Cristiano Ronaldo anayecheza Al-Nassr FC. PSG, huenda ikawa bila Messi msimu...

KUHUSU SAKATA LAO NA FEI TOTO….YANGA WAPEWA NJIA HII NYEPESI YA KUMALIZA KESI KWA USHINDI…

0
Habari za Yanga SC

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Ibra kasuga amesema kuwa Klabu ya yanga wanapaswa kumshitaki mchezaji wao Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' kwa kukiuka matakwa ya mkataba wake na kutoroka kambini. Kasuga amesema hayo kufuatia kesi ya Fei Toto na Yanga SC kushindwa kutolewa maamuzi jana na badala yake itatajwa baadaye na TFF. Fei Toto ambaye aliandika barua Desemba 2022, akidai...

MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU KWA CHAMA NA SIMBA…

0
Habari za SImba SC

Clatous Chama kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba SC anapitia kipindi kigumu cha mpito kutokana na kasi yake ya kufunga kugota kwa muda mrefu akipitisha dakika 663. Kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele anayekipiga Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Kwenye mechi 8 za ligi ambazo alipata nafasi ya kucheza Chama hakufunga kituo kinachofauata ni dhidi ya Namungo mchezo...

KUHUSU ISHU YAO NA FEI TOTO…..YANGA WASIMAMIA UKUCHA….WAMKUMBUSHA MAMBO YA CAS…

0
Habari za Yanga SC

Jana ilikuwa ni siku ambayo shauri la mgogoro wa Kimkataba kati ya Feisal Salum Fei Toto na timu ya Yanga SC lilikuwa linajadiliwa tena TFF kwa mara nyingine. Pande zote mbili zilifika kwa maana ya Mwanasheria wa Yanga SC Simon Patrick akiwa ameambatana na CEO wa Yanga Andrew Mtine lakini Feisal aliambatana na Jasmine Razack na Mwanasheria Fatma Karume maarufu...