MASTAA YANGA SC WATUA KISHUA NIGERIA….RIVER UNITED WAPAGAWA…
Msafara wa watu 49 wa kikosi cha Yanga SC, umetua salama jioni ya leo kwenye mji wa Lagos, Nigeria. Yanga SC imesafari Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, dhidi ya wenyeji wao Rivers United. Msafara huo uliondoka Dar Es Salaam, kwenye uwanja wa ndege wa Julias Kambarage Nyerere alfajiri ya leo...
MUZIKI WA YANGA WAITISHA RIVERS UNITED…KIUNGO SIMBA AMPGIA SIMU MAYELE
April 21, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
KUHUSU MAMBO YANAVYOENDA NDANI YA SIMBA SC…MO DEWJI AVUNJA UKIMYA KUHUSU TRY AGAIN…
RAIS wa heshima wa Simba SC, Mohamed ‘Mo’ Dewji amemsifu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salum Abdallah Muhene ‘Try Again’ kwa kazi nzuri anayoifanya na kusema kwamba Ana imani naye. Sifa hizo zinakuja baada ya Simba SC kuifunga Yanga 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumapili Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam. Simba pia imefanikiwa kutinga...
MGUNDA:- YANGA SC WASHUKURU….TUNGEWAFUNGA NYINGI MNOO…
Kocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda, ametamba gemu plani yao ndio imewapa matokeo mazuri ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga akisema kwamba ushindi huo ni mdogo kwani kama washambuliaji wao wangekuwa makini, basi Yanga wangekufa nyingi. Simba juzi ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar...
KISA KOSA KOSA ZA KWENYE MECHI YA SIMBA….NABI AWAPASUKIA UKWELI MASTAA YANGA SC…
Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga SC, amesema washambuliaji wake ikiwa ni Fiston Mayele na Kennedy Musonda wanapaswa kuongeza umakini kwenye kutumia nafasi wanazopata ili kufunga mabao mengi. Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara msimu huu, kibindoni wana pointi 68 baada ya kucheza mechi 26, tofauti ya pointi tano na watani zao wa jadi Simba wenye 63. Akizungumza nasi, Nabi...
MERIDIANBET WAWASOGEZEA VINGUNGUTI DUKA LA ‘KUPUNA MAHELA’….ISHU NZIMA ILIKUWA HIVI..
Kampuni ya Meridianbet inaendeela na uzinduzi wa maduka ya kubetia kila iitwayo leo na hivi sasa wamehamia Vingunguti relini jijini Dar es salaam huku lengo haswa likiwa ni kuwasogezea huduma kwa ukaribu wakazi wa hapo na kuwaletea mashine bora za kucheza kasino ya mtandaoni. Meridianbet kwenye kujipambanua kwake wameona uhitaji mkubwa wa kuzindua maduka karibu kila kona ya jiji hili...
YANGA YAIPITA SIMBA KWENYE KLABU ZENYE THAMANI AFRIKA MASHARIKI…AZAM FC BABA LAO…
Wakati mchezo wa Soka Afrika Mashariki ukizidi kushika hatamu na kuwa mchezo namba moja kwa kupendwa zaidi, vivyo hivyo klabu za ukanda huo haswa kwa nchi za Kenya, Tanzania, Rwanda na Uganda vinazidi kupiga hatua kubwa kimaendeleo. Tovuti mashuhuri duniani la mambo ya thamani na masoko kwenye mchezo wa kandanda, ya 'Transfer Market Wolrd' imeorodhesha thamani ya sokoni kwa klabu...
BAADA YA KUSAIDI DILI JIPYA YANGA SC…JOB AFUNGUKA A-Z SABABU ZA KUITOSA SIMBA SC…
Beki wa Kati wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Yanga SC, Dickson Job amesema ilikua lazima aendelee kubaki klabuni hapo, na ndio maana amekubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuhudumu kwenye klabu hiyo. Job alikuwa anahusishwa na kujiunga Simba SC mwishoni mwa msimu huu, huku ikitajwa pia kuwa na dili zingine nje ya nchi, lakini Uongozi wa Young Africans mwishoni...
KISA KUMTANDIKA SANE NGUMI ZA USO…MANE APIGWA FAINI YA MIL 724….HUENDA AKAPIGWA BEI MAZIMA…
Baada ya Sadio Mane kumpiga mchezaji mwenzake wa bayern Munich, Leroy Sane wiki iliyopita nyota huyo amepigwa faini ya pauni 250,000, (Sh.724,445,000). Pia inatajwa kuwa staa huyo raia wa Senegal yupo kwenye hesabu za kuuzwa mwishoni mwa msimu huu. Mane alimchapa ngumi ya mdomo Sane kwenye chumba cha kubadilishia nguo wiki iliyopita kwa madai kuwa Sane alimkejeli kwa lugha na vitendo...
KOCHA MAARUFU AFRIKA AIPELEKA YANGA SC NUSU FAINAL CAF…AWAPA MBINU ZA KUPITA…
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC Milutin Sredojevic ‘Micho’ ameipa nafasi kubwa klabu hiyo kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, kwa kuichapa Rivewrs United ya Nigeria. Yanga SC itaanzia ugenini Nigeria kucheza mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa hatua hiyo April 23, kabla ya kumalizia nyumbani jijini Dar es salaam katika Uwanja wa Benjamin Mkapa April...