MAYELE AMPA SHAVU FEI TOTO CONGO…VIGOGO HAWA WA SOKA WANAMPA JEURI

0
MAYELE AMPA SHAVU FEI TOTO CONGO...VIGOGO HAWA WA SOKA KUMSAJILI

Taarifa kutoka ndani ya TP Mazembe ya nchini DR Congo sehemu anayotoka mshambuliaji Fiston Mayele, zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo upo katika mipango ya kumsajili kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto' ambaye bado ana mgogoro na timu hiyo. Feisal bado anasakata lake na Yanga ambapo mwenyewe ameomba kuondoka ndani ya timu hiyo huku akiwa nje ya dimba kwa...

CAF WAIBEBA SIMBA SC MBELE YA WYDAD……WAPEWA REFA WA USHINDI…BALAA LAKE HILI HAPA…

0
Mwamuzi Issa SY kuchezesha Simba SC vs Wydad

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limempanga Issa Sy kutoka Senegal kuwa mwamuzi wa mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Mabingwa watetezi Wydad Casablanca utakayochezwa Jumamosi (April 22) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Takwimu za michezo 15 iliyopita ya michuano ya klabu Barani Afrika...

RIVER UNITED WACHEKELEA YANGA SC KUFUNGWA NA SIMBA…WATAMBA KUPIGA KWENYE MSHONO..

0
Habazi sa Simba na Yanga

Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa nchini Nigeria Rivers United, Stanley Eguma, amekiri kuifuatilia Yanga SC ilipokuwa ikicheza dhidi ya Simba SC juzi Jumapili (April 16), katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Yanga SC inayoongoza Msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa, ilikubali kupoteza mchezo huo kwa kufungwa 2-0, mabao ya Simba SC yakifungwa na Beki kutoka DR Congo Henock Inonga...

PAMOJA NA KUPUUZWA….KIGWANGALLA AMPA TENA ZA USO MO DEWJI….”UWEZO WAKE MDOGO SANA”..

0
Kigwangalla na Mo dewji

Mbunge wa Nzega Vijijini, Dk. Hamisi Kigwangallah amesema ameamua kumfuta katika orodha ya marafiki zake, mfanyabiashara maarufu nchini na mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewhi baada ya kutofautiana. Kigwangallah amesema hayo wakati akihojiwa na Edwin Odemba wa Star TV ambapo amedai kuwa aligundua uwezo wa kufikiri wa mfanyabiashara huyo ni mdogo baada ya kuanika kuwa alikwenda kumkopa pikipiki, alivyonyimwa...

KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA WAMOROCCO…MSUVA AWAFANYIA KITU MBAYA WYDAD…AANIKA SIRI ZAO ZOTE..

0
Habari za Simba SC

Staa wa zamani wa Yanga, Simon Msuva ambaye aliwahi kucheza kwenye Ligi ya Morocco dhidi ya Wydad Casablanca alisema mara nyingi timu za Kaskazini zimekuwa na hesabu kubwa sana kwenye michezo yao wakiwa ugenini. Anasema wamekuwa wakipoteza muda uwanjani na kutafuta sare hasa katika hatua kama hii. "Najua kwa kiasi fulani tabia ya timu za Kiarabu, ni wanjanja sana, huwa...

HUYU HAPA STAA WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA SHAVU NA SERGIO RAMOS WA PSG….

0
Ramos aposti wimbo wa Staa wa Bongo Fleva mavokali

Mchezaji wa Klabu ya Psg, Sergio Ramos, ametumia wimbo wa Commando wa msanii Bongo Fleva, Mavokali, kwenye ‘Insta Story’ yake. Ramos, ameposti picha hiyo akiwa na wenzake Carlos Regli na Manuel Jara. Wimbo wa Mavokali, Commando ulitoka rasmi 28 Sept 2022 na video ya ngoma hiyo ina zaidi ya watazamaji milioni 15 kwenye mtandao wa Youtube. Hii ni mara nyingine tena staa...

KUHUSU ISHU YA KANOUTE….SIMBA SC WAVUNJA UKIMYA KUHUSU YANAYOENDELEA JUU YAKE…

0
Habari za Simba

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameeleza kilichomfanya nyota wao Sadio Kanoute akosekane kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Yanga SC pamoja na mechi nyingine zilizotangulia zikiwemo mbili dhidi ya Ihefu FC. Akizungumza na waandishi wa habari , Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, alisema, Kanoute alipata majeraha ya nyonga hivyo ataingia kambini leo na kisha kufanyiwa vipimo kujua kama...

BAADA YA KICHAPO CHA SIMBA…NABI AFUNGUKA HAYA..AMTAJA AZIZ KI

0
Habari za Yanga SC

BAADA ya kukubali kichapo cha mabao 2-0, kutoka kwa Simba, kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema alikuwa na sababu kubwa ya kumweka nje Stephen Aziz KI, lakini hilo limeisha na haliwazi tena kwani sasa amehamishia akili zote kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika ugenini dhidi ya Rivers United. Nabi amesema licha ya kufungwa na...

YANGA MLIFURAHIA KUPANGIWA NA RIVERS…ILA MNA KAZI NZITO “KUMWEMBE

0
Habazi sa Simba na Yanga

Wakati Mabingwa watetezi wa Tanzania Bara na Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tayari wamepewa tahadhari namna ya kuuendea mchezo huo na hasa kisaikolojia ikizingatiwa wametoka kupoteza mchezo wa Dabi dhidi ya Mtani wao Simba SC. Mchambuzi wa Michezo mkongwe nchini, Edo Kumwembe amesema; "Yanga wasahau haraka matokeo dhidi ya Simba, licha ya kuwa walishangilia kupangwa na Rivers...

DUUH! CHEKI JUMBA HILI LA KIFAHARI LA RONALDO…LAPANGISHWA MAMILIONI KWA MWEZI

0
DUUH! CHEKI JUMBA HILI LA KIFAHARI LA RONALDO...LAPANGISHWA MAMILIONI KWA MWEZI

Nyota wa klabu ya Alnassr na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anakodisha/pangisha jumba lake la Kifahari lililopo katika jiji la Madrid nchini Unispania kwa euro 10,000 tu (takriban $10,980) sawa na Tsha 25,726,140/= (Milioni 25 za Kitanzania) kwa mwezi! Jumba hilo lenye ukubwa wa mita za mraba 43,000 linaelezwa kuwa lina vyumba saba vya kulala, bafu...