HATIMA YA AISHI MANULA…KUAMULIWA LEO SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI

0
HATIMA YA AISHI MANULA...KUAMULIWA LEO SIMBA...ISHU NZIMA IKO HIVI

Kipa namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula leo atakutana na jopo la matabibu wa timu kutazamwa hali yake ili kujua kama yuko tayari kuanza mazoezi kuelekea mchezo dhidi ya Wydad Casablanca. Simba watamenyana na Wydad Casablanca Jumamosi katika mechi ya kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Aishi alikosekana kwenye...

HATIMAYE WAPINZANI WA SIMBA…KLABU BINGWA…WAANZA SAFARI KUTUA DAR

0
Habari za Simba SC

Mabingwa wa Afrika, Wydad Club Athletic, maarufu kama Wydad Casablanca wakiwa Uwanja wa Ndege wa Mohamed V Jijini Casablanca usiku wa Jana wakati wanaanza safari ya kuja Dar es Salaam kumenyana na wenyeji, Simba SC katika Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi Uwanja wa Benjamín Мкара..

SPIKA WA BUNGE AMWAGA MAMILIONI…TIMU HII YAPOKEA MAPENE HAYO

0
SPIKA WA BUNGE AMWAGA MAMILIONI...TIMU HII YAPOKEA MAPENE

Spika wa Bunge la Tanzania Dk Tulia Ackson ametoa Sh2 milioni kwa timu ya Mbeya City ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya timu hiyo kuelekea mchezo dhidi ya Kagera Sugar Aprili 23. Fedha hizo zimetolewa leo Aprili 18, 2023 wakati wa Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Spika kwa wachezaji wa Mbeya City jijini Dodoma wakiwa safarini kuelekea Bukoba kwa ajili...

SINGIDA BS YAITETEMESHA YANGA…WAJIHAKIKISHIA USHINDI…WAFIKE KIMATAIFA

0
SINGIDA BS YAITETEMESHA YANGA...WAJIHAKIKISHIA USHINDI...WAFIKE KIMATAIFA

Uongozi wa Klabu ya Singida Big Stars umechimba mkwara kuelekea mchezo wa Mzunguuko wa 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao utawakutanisha na Mabingwa watetezi Young Africans mwezi Mei kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida. Singida ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa imebakiza michezo minne kukamilisha msimu huu jambo ambalo wameahidi kufia uwanjani. Meneja wa...

ILE MECHI NA SIMBA YAWACOST YANGA…RIVERS HAWAKUWA MBALI “TUMEGUNDUA HILI

0
ILE MECHI NA SIMBA YAWACOST YANGA...RIVERS HAWAKUWA MBALI "TUMEGUNDUA HILI

Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa nchini Nigeria Rivers United, Stanley Eguma, amekiri kuifuatilia Young Africans ilipokuwa ikicheza dhidi ya Simba SC juzi Jumapili (April 16), katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Young Africans inayoongoza Msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa, ilikubali kupoteza mchezo huo kwa kufungwa 2-0, mabao ya Simba SC yakifungwa na Beki kutoka DR Congo Henock Inonga...

KOCHA SIMBA AFICHUA SIRI HII YA KUIBANJUA YANGA…AMEFUNGUKA HAYA

0
KOCHA SIMBA AFICHUA SIRI HII YA KUMBANJUA YANGA...AMEFUNGUKA HAYA

Hatimaye Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira 'Robertinho', amafichua siri ya kuibanjua Young Africans katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliopigwa Juzi Jumapili (April 16), katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Kocha huyo kutoka nchini Brazil amesema walichofanya wachezaji wa kikosi chake kwenye mchezo huo akiwemo Kibu Denis, ni maelekezo waliyoyafanyia kazi katika uwanja wa...

MECHI HII YA YANGA YAPELEKWA MBELE…HUYO NABI SASA!!

0
MECHI HII YA YANGA YAPELEKWA MBELE...HUYO NABI SASA!!

Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Rivers United utakaopigwa Jumapili April 23 Mchezo wa marudiano utapigwa April 30 katika uwanja wa...

NI SIMBA SC TENA….CAF KUTUMA WATAALAMU KUJA KUFANIKISHA JAMBO MECHI NA WYDAD…

0
Habari za Simba SC

Kesho kutwa Alhamisi wataalamu wa teknolojia ya Video Assistants Referee (VAR) kutoka Misri wanatinga nchini tayari kwa kufunga mitambo yao na kuijaribu kwa ajili ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayozikutanisha Simba SC na Wydad Casablanca ya Morocco, Jumamosi hii. Hii itakuwa ni kwa mara ya pili katika Historia kwa VAR kutumika Tanzania katika Uwanja wa...

BAADA YA KUOTEWA NA SIMBA JUZI….HIZI HAPA MECHI KOKI ZA YANGA SC ZILIZOBAKI…WAKIFELI NDIO BASI TENA…

0
Habari za Yanga SC

BAADA ya juzi Jumapili kufundwa na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu kwa goli 2-0, Yanga SC sasa wamebakisha jumla ya mechi nne kuamua hatma yao ya kutete ubingwa wa Ligi. Mechi Hizo ni pamoja na .. TBA, 2023 16:00 Singida Big Stars FC vs Young Africans SC (Liti Stadium, Singida) TBA | Young Africans SC vs Dodoma Jiji FC (Mkapa Stadium...

GEOF LEA :- TIMU BORA (YANGA) ILIFUNGWA NA TIMU YA HAMASA (SIMBA)…HATA LIVER WALIIOKOTA MAN U…

0
Habazi sa Simba na Yanga

Mchambuzi wa masuala ya Soka nchini kupitia kituo cha radio cha EFM, Geof Lea amekiri kuwa ni kweli timu ya Yanga ikiwa bora msimu huu imefungwa na Simba ambayo haiku vizuri sana. Geof Lea amesema hayo kufuatia Yanga kufungwa bao 2-0 na watani zao Simba katika Dimba la Mkapa juzi Jumapili Aprili 16, 2023. “Ni kweli timu bora imefungwa na timu...