UNAWAZA KUHUSU JANUARY..? MERIDIANBET WANAKULETEA MCHONGO HUU MPYA…ZINGATIA HILI..

0
Meridianbet

Muda muafaka ni mwisho wa mwaka, katika michezo iliyochaguliwa ya Pragmatic Play! Kuanzia Desemba 26 mpaka Januari 4, 2023, shiriki katika promosheni ya shindano la kasino Kupitia Meridianbet ambayo ina zawadi kubwa yenye kusisimua ya TZS 12,000,000! Bingwa ataibuka na kitita cha TZS 3,800,000, mshindi wa pili 1,800,000 TZS na nafasi ya tatu ataondoka na 1,300,000 na pia zawadi zitatolewa...

AZAM FC WAANZA KUWATIA SIMBA SC TUMBO JOTO KWA INONGA…ISHU NZIMA IKO HIVI..

0
Habari za Simba SC

SAA chache baada ya kuwavuruga mashabiki na wanachama wa Yanga kwa kumng’oa kibabe kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’, klabu ya Azam FC imedaiwa sasa imeamua kuwageukia Simba SC, ikipiga hesabu ya kumchomoa mmoja ya nyota wa kikosi cha timu hiyo inayoshika nafasi ya pili ya Ligi Kuu Bara. Azam FC inayoshika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu, inadaiwa...

A-Z JINSI SIMBA SC WALIVYOWEKA REKODI HII MPYA JANA …CHAMA KAPITILIZA AISEE…

0
Simba SC

Simba SC imeendeleza ubabe mbele ya KMC baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 ugenini kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Ushindi huo ni wa tisa kwa Simba SC mbele ya KMC katika michezo 10 waliyokutana tangu mwaka 2018 huku KMC ikiambulia sare moja. Ushindi  wa jana unaihakikishia Simba pointi saba katika michezo yake mitatu ya Kanda ya Ziwa baada...

ACHANA NA FEI TOTO…MWINGINE HUYU HAPA NAYE KAVUNJA MKATABA KISA PESA…

0
Habari za Yanga

KIUNGO wa Geita Gold, Yusuph Kagoma ameamua kuvunja mkataba wake wa miezi sita uliobaki ili kujiunga na Singida Big Star. Nyota huyo aliyekuwa akiwindwa na Simba kwenye dirisha hili inaelezwa amefikia makubaliano binafsi na sasa anajiunga na walima alizeti hao. Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Liberatus Pastory alisema mchezaji atakayekwenda mezani kwao ili kuvunja mkataba kwa ajili ya maslahi yake wapo...

WAKATI AKIHAHA HUKU NA KULE…FIFA WAMPA TABASAMU AUSSEMS…..

0
Habari za Michezo

KOCHA wa AFC Leopards, Patrick Aussems, amefurahishwa na urejeo wa wachezaji wake watano kwenye kikosi chake kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kufuatia kibano cha Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Wachezaji 10 wa Ingwe hawajacheza mechi tatu za ufunguzi Ligi Kuu Kenya msimu huu wakisubiri maamuzi ya FIFA. “Urejeo wa wachezaji hawa unaleta morale kwenye timu. Baadhi yao ni wazoefu...

MKATABA WA SAIDO NA SIMBA SC KUFURU TUPU…NABI AWAKA YANGA SC….MAKAMBO ATUPIWA VIRAGO…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne ya tarehe 27/12/2022

FT: KMC 1 – 3 SIMBA SC…..BOCCO AANZA KURUDI…NTIBAZOKINZA APIGWA JUKWANI…

0

KLABU ya Simba SC imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya timu ya KMC FC kwa kuishushia kipigo cha mabao 3-1, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza. Simba sC ilianza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa nahodha wao, John Bocco na kuwatanguliza mbele mpaka mapumziko wakiwa mbele kwa 1-0 kabla ya KMC kusawazisha. Simba SC ilipata...

FEI TOTO AENDELEA ‘KUIDELETE’ YANGA SC KIAINA…AKATAA KUTAMBULIKA KAMA MCHEZAJI WAO…

0
Habari za Yanga

Aliyekuwa Mchezaji nyota wa Yanga SC Feisal Salum Abdallah #FeiToto ambae amekua akihusishwa kujiunga na klabu ya Azam Fc ,amefuta utambulisho wa kuwa mchezaji wa Yanga sc kwenye bio yake katika mtandao wa instagram. Awali mchezaji huyo alojitambulisha kama mchezaji wa klabu ya @yangasc na timu ya taifa ya Tanzania, kabla ya kuondosha utambulisho huo na kuacha utambulisho wa kuwa...

MGUNDA: SIMBA SC HATAYUMBA KISA PHIRI HAYUPO…TUNAVIFAA VYA MAANA…

0
Habari za Simba

Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda amethibitisha kuwa kinara wa mabao wa timu hiyo, Moses Phiri atakosekana katika mchezo wa leo dhidi ya KMC utakaopigwa kuanzia saa 10 jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Phiri mwenye mabao 10 na assiti mbili katika michezo 17 ya Ligi msimu huu aliumia katika mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar ambao ulimalizika...

EPL INARUDI TENA LEO…HIZI HAPA ODDS ZA MERIDIANBET ZA KUCHOTA MIHELA…

0

Wakati ukimalizia kula nyama na pilau la sikukuu ya Krismasi, itakuwa siku nzuri sana kwako mpenzi wa soka pale ambapo utafungua boksi la zawadi kutoka Meridianbet likiwa na Odds Bombaa!! Kwenye mechi zote za EPL kuanzia leo 26 Desemba 2022. Ni Chelsea, Arsenal, Manchester United Man City, Newcastle, Tottenham zitakuwa dimbani.  Odds za Meridianbet zikoje?  Mechi za Disemba 26/2022  Arsenal ya Mike...