KWA MARA YA KWANZA TRY AGAIN AGUSIA ISHU YA USAJILI WA MANZOKI…AMTAJA ANAYEHUSIKA…

0

Baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa leo Disemba 16, 2022 ikiwa ni kwa muda wa siku 30 mpaka pale Januari 15, 2023, hatimaye sasa uongozi wa Simba umevunja ukimya kuhusu tetesi za usajili Simba kwa wachezaji wanaohusishwa na timu hiyo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC Salim Abdallah Muhene maarufu kama Try Again, amesema kwamba wanasimba wakae...

HAWA HAPA WACHEZAJI KUMI NA MOJA AMBAO WAPO WAPO TU …WACHEZE, WASICHEZE HAKUNA ANAYEJALI…

0
Ligi Kuu Tanzania 2023/24

Utamu wa Ligi Kuu Bara unarejea tena leo kwa mechi za ufunguzi wa mzunguko wa pili, Ruvu Shooting ikicheza dhidi ya Ihefu na KMC ikiikaribisha Coastal Union ya Tanga. Mambo yalikuwa ni mengi katika mzunguko wa kwanza. Kuna wachezaji walikiwasha ile mbaya na kujenga heshima kubwa kwa mashabiki wao na kuna wengine hao ambao mambo yao hayakuwa poa kabisa, hawakupata...

FEI TOTO NA Infinix WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA #PigaUtoboe…

0

Kampeni Maarufu ya #PigaUtoboe imezidi kunogeshwa na matukio mawili makuu yaliyofanyika jana pale Mlimani City. Tukio la kwanza lilikuwa ni la ukabidhiji wa zawadi kwa washindi wa shindano la kubashiri kwa kila mechi zinalizochezwa kwa siku ni team gani itaibuka na ushindi. Washindi walipata fursa ya kukabidhiwa zawadi na Mchezaji Maarufu anayekipiga Club ya Yanga Bwana Feisal Salum ‘Fei Toto’,...

ISHU YA BASI LA SIMBA KUTOONEKANA….UKWELI UKO HIVI….BARBARA ALIHUSIKA A-Z…

0
Basi la Simba

Kitendo cha timu ya Simba kutotumia magari yao kwenye safari zake za hapa na pale pamoja na kwenda nayo uwanjani kwenye mechi kimeanza kuwashangaza wengi huku wakiwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii. Hivi karibuni Simba ikiwa inaenda uwanja wa Ndege kwa ajili ya kusafiri kwenda Mbeya walionekana wakiwa kwenye gari dogo la kukodi aina ya (Coaster), badala ya magari ambayo...

SIMBA TENAA…WAMKOSA MCHEZAJI MWINGINE WA MAANA KWA ‘KUJIUMA UMA KUFUNGUA POCHI’…..

0
Habari za Simba

Aliyekuwa Kiraka wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Nickson Kibabage amekamilisha usajili wa kujiunga na na Klabu ya Singida Big Stars Kwa Mkataba wa Miaka mitatu kama Mchezaji huru. Kibabage ametimkia Mkoani Singida, baada ya Uongozi wa Mtibwa Sugar kukubali kumuachia kwa makubaliano maalum na Viongozi wa Singida Big Stars, ambao wamekubali kununua sehemu ya mkataba wake iliyokuwa imesalia klabuni hapo. Kwa...

RASMI…SERIKALI YAINGILIA KATI KIPIGO CHA MWAKINYO…WAZIRI ATOA MSIMAMO HUU…

0

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema wizara yake bado inaendelea kuchunguza sakata la Hassan Mwakinyo baada ya kupoteza pambano lake nchini Uingereza. Mchengerwa amesema wamekuwa na utaratibu wa kufuatilia kila jambo linalotokea katika sekta ya Sanaa, Utamaduni na Michezo hivyo walipoona sintofahamu iliyotokea nchini Uingereza wameedelea kufuatilia kjua nini kilitokea. “Nimefanya mazungumzo nilipokuwa kule Tanga na Mwakinyo, tumekubaliana...

KOCHA LA MAKOMBE LANUKIA TAIFA STARS…TFF WAANIKA SIKU YA KUMTAJA…

0
Kikosi cha Taifa Stars

Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limethibitisha kuwa kwenye mchakato wa kumsaka Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ ambayo bado ipo kwenye mbio za kusaka nafasi ya kushiriki Fainali za Afrika ‘AFCON 2023’ zitakazounguruma nchini Ivory Coast. TFF ipo kwenye mchakato huo baada ya kumweka pembeni Kocha Kim Poulsen na nafasi yake kuchukuliwa kwa muda na Kocha Hanour Janza...

TETESI….THOMAS ULIMWENGU NI SIMBA AU YANGA…DILI LAKE LIKO HIVI…

0
Habari za Yanga

Dirisha dogo la usajili limefunguliwa rasmi jana Desemba 15 huku mshambuliaji Thomas Ulimwengu aliyekuwa akikipiga TP Mazembe yupo nchini na anasikilizia dirisha hili atue wapi baada ya mkataba wake na Mazembe kumalizika rasmi Julai 1, 2022. Mmoja wa rafiki wa karibu wa mchezaji huyo alisema kama utatumika ushawishi mkubwa kwa mchezaji huyo anaweza kufikiria kucheza nchini kutokana na soka linavyokuwa...

KISA KUNYIMWA PENATI JUZI…MOROCCO WAPANGA KUKIMBILIA MAHAKAMANI KUDAI HAKI YAO…

0

Shirikisho la Soka la Morocco (FRMF) limetangaza Alhamisi, Desemba 15, kwamba limewasilisha malalamiko yake kwa 'chombo chenye uwezo' (bila kutaja jina) kupinga usimamizi wa mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2022, ambapo Simba wa Atlas walifungwa na Ufaransa 2-0 siku ya Jumatano. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, FRMF inarejea kwenye maamuzi mawili ya ussimamizi...

BAADA YA KUONA WAMEPANGWA NA WAARABU ….PHIRI AIBUKA NA HILI KUHUSU HATMA YA SIMBA CAF..

0
Habari za Simba

Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Moses Phiri amesema Simba SC ina nafasi kubwa ya kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2022/23. Simba SC iliwafahamu wapinznai wake katika Hatua ya Makundi, Jumatatu (Desemba 12), baada ya kupangwa kwa Droo ya Hatua hiyo mjini Cairo nchini Misri. Simba SC imepangwa Kundi C na Raja Casablanca (Morocco), Horoya...