HII HAPA RATIBA KAMILI NA TEREHE KWA MECHI ZA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA…
DROO ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF imepangwa mchana wa jana na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga ni miongoni mwa timu 16 zinazoshiriki hatua hiyo ikiwa imepangwa kwenye Kundi D pamoja na TP Mazembe, US Monastir, na Real Bamako Na Hii ndio ratiba kamili ya hatua ya Makundi ya kombe hilo: MECHI YA KWANZA:...
WAARABU WAJITOSA KWA FEI TOTO….WAMTENGEA MAMILIONI YA PESA…HERSI AKUBALI AENDE..
MABOSI wa Berkane FC ya nchini Morocco wamefunga safari kumfuata kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa ajili ya kuinasa saini yake ikiwa ni baada ya kukoshwa na uwezo wake ambao amekuwa akiuonyesha kila mara akiwa anaitumikia timu hiyo. Kiungo huyo mara kadhaa amekuwa akiwaniwa vikali na baadhi ya klabu za nje ya nchi kwa ajili ya kumnasa tangu asajiliwe...
UKIONA YANGA WANACHEZA JUMANNE TU…NENDA KABET WANAFUNGWA…TAKWIMU HIZI HAPA…
Hadithi tamu kwa jezi nyeusi kwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga na namna ilivyoibeba timu hiyo kabla ya kuwekewa zengwe na kwenda kupasuka kwa Ihefu 2-1, ilivuma sana masikioni mwa wapenda soka. Baada ya kupasuka kwa Ihefu na kutibuliwa rekodi ya kucheza mechi mfululizo bila kupoteza ikikwamisha ya 49, iliporudi kwenye mechi mbili zilizofuata ikivaa jezi hizo na kushinda...
WAKATI KIVUMBI CHA QATAR KIKIENDELEA TENA LEO…ZINGATIA ODDS HIZI ZENYE UHAKIKA……
hatimaye sasa zimesalia timu 4, mbili zikitoka bara la Ulaya, moja Amerika Kusini na Moja ni kutoka Afrika. Argentina vs Croatia, Morocco vs Ufaransa. Mchanganuo wa ODDS kubwa na bomba Meridianbet upo kama ifuatavyo. Machaguo spesho ya Meridianbet Mechi hizi. ARGENTINA V/S CROATIA- 13 Disemba 2022 Kiwango cha ushindi: Argentina ashinde kwa tofauti ya goli 1 =3.55, Croatia 6.20, Croatia ashinde kwa...
BAADA YA MAKUNDI CAF KUTOKA….VIGOGO SIMBA NA YANGA WATUNISHIANA MISULI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumanne
KAMA ULIKUWA HUJUI…UKIACHA KUWA KUNDI C..HAWA HAPA NI WABABE WA SIMBA CAF…
Klabu ya Simba imepangwa kundi C katika droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyofanyika leo nchini Misri. Katika kundi hilo C, Simba imepangwa na timu za Raja Casablanca (Morocco), Horoya (Guinea) na Vipers (Uganda). Mechi za mzunguko wa kwanza hatua ya makundi zitaanza kupigwa Februari 10 na Februari 11, 2023. Mtiririko mzima wa makundi upo kama unavyoonekana hapa chini; KUNDI A: Wydad AC...
MAPEEMA KABISA…YANGA WAANZA ‘KUWAPIGA NDOIGE’ AZAM FC…MAYELA ATAJWA…
Tayari joto la Mzizima Dabi limeshaanza kupanda! Yanga SC wamewatambia wapinzani wao Azam FC kwa kuwaambia kuwa watakula pilau katika Uwanja wao siku hiyo. Yanga wanatarajia kukutana na Azam siku ya Krismasi Desemba 25, 2022 katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar kama hakutakuwa na mabadiliko ya Uwanja. Afisa Habari ya Yanga, Ally Kamwe amesema, Wana mechi mbili kabla ya...
ZA NDAANIII…WACHEZAJI SIMBA WALIVYOHUSIKA NA KUJIUZULU KWA BARBARA…
Siku cheche tangu CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez atangaze kuachia wadhifa huo ifikapo Januari 2023, Taarifa za chini chini kutoka ndani ya klabu ya Simba juu ya sakata la kujiuzulu kwa Afisa Mtendaji mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez zinadai kuna Wachezaji walipiga kura ya siri kumkataa mwanamama huyo. Inadaiwa Barbara alifanya mambo yafuatayo akiwa katika nafasi yake kama...
NDOA YA MBRAZILI NA SINGIDA BIG STARS YAOTA MBAWA…YALIYONYUMA YA PAZIA HAYA HAPA…
Timu ya Singida Big Stars imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji wake, Peterson Silvino Da Cruz ‘Peu Da Cruz’ raia wa Brazil kutokana na sababu za kifamilia. Mshambuliaji huyo aliondoka katika Timu ya Singida wiki chache zilizopita ikaarifiwa kuwa ni kwa sababu za kifamilia. Soma hapa chini Taarifa rasmi ya klabu ya Singida;
TRY AGAIN: KUJIUZULU KWA BARBARA NI UPEPO MBAYA…SIMBA NI TIMU KUBWA AFRIKA…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ ametuliza hali ya hewa ndani ya Klabu hiyo, baada ya aliyekua Afisa Mtendaji Mkuu ‘CEO’ Barbara Gonzalez kutangaza kujiuzulu. Barbara akithibitisha kujiuzulu juzi Jumamosi (Desemba 10), na kuzua taharuki kwa Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo ambao walihoji maswali mengi katika Mitandao ya Kijamii kuhusu kuondoka...