WAKATI KIVUMBI CHA QATAR KIKIENDELEA TENA LEO…ZINGATIA ODDS HIZI ZENYE UHAKIKA……

0

hatimaye sasa zimesalia timu 4, mbili zikitoka bara la Ulaya, moja Amerika Kusini na Moja ni kutoka Afrika. Argentina vs Croatia, Morocco vs Ufaransa. Mchanganuo wa ODDS kubwa na bomba Meridianbet upo kama ifuatavyo. Machaguo spesho ya Meridianbet Mechi hizi.  ARGENTINA V/S CROATIA- 13 Disemba 2022  Kiwango cha ushindi: Argentina ashinde kwa tofauti ya goli 1 =3.55, Croatia 6.20, Croatia ashinde kwa...

BAADA YA MAKUNDI CAF KUTOKA….VIGOGO SIMBA NA YANGA WATUNISHIANA MISULI…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumanne

KAMA ULIKUWA HUJUI…UKIACHA KUWA KUNDI C..HAWA HAPA NI WABABE WA SIMBA CAF…

0
Habari za Simba

Klabu ya Simba imepangwa kundi C katika droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyofanyika leo nchini Misri. Katika kundi hilo C, Simba imepangwa na timu za Raja Casablanca (Morocco), Horoya (Guinea) na Vipers (Uganda). Mechi za mzunguko wa kwanza hatua ya makundi zitaanza kupigwa Februari 10 na Februari 11, 2023. Mtiririko mzima wa makundi upo kama unavyoonekana hapa chini; KUNDI A: Wydad AC...

MAPEEMA KABISA…YANGA WAANZA ‘KUWAPIGA NDOIGE’ AZAM FC…MAYELA ATAJWA…

0

Tayari joto la Mzizima Dabi limeshaanza kupanda! Yanga SC wamewatambia wapinzani wao Azam FC kwa kuwaambia kuwa watakula pilau katika Uwanja wao siku hiyo. Yanga wanatarajia kukutana na Azam siku ya Krismasi Desemba 25, 2022 katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar kama hakutakuwa na mabadiliko ya Uwanja. Afisa Habari ya Yanga, Ally Kamwe amesema, Wana mechi mbili kabla ya...

ZA NDAANIII…WACHEZAJI SIMBA WALIVYOHUSIKA NA KUJIUZULU KWA BARBARA…

0
Kikosi cha Simba SC Msimu huu wa 2022/23

Siku cheche tangu CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez atangaze kuachia wadhifa huo ifikapo Januari 2023, Taarifa za chini chini kutoka ndani ya klabu ya Simba juu ya sakata la kujiuzulu kwa Afisa Mtendaji mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez zinadai kuna Wachezaji walipiga kura ya siri kumkataa mwanamama huyo. Inadaiwa Barbara alifanya mambo yafuatayo akiwa katika nafasi yake kama...

NDOA YA MBRAZILI NA SINGIDA BIG STARS YAOTA MBAWA…YALIYONYUMA YA PAZIA HAYA HAPA…

0

Timu ya Singida Big Stars imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji wake, Peterson Silvino Da Cruz ‘Peu Da Cruz’ raia wa Brazil kutokana na sababu za kifamilia. Mshambuliaji huyo aliondoka katika Timu ya Singida wiki chache zilizopita ikaarifiwa kuwa ni kwa sababu za kifamilia. Soma hapa chini Taarifa rasmi ya klabu ya Singida;

TRY AGAIN: KUJIUZULU KWA BARBARA NI UPEPO MBAYA…SIMBA NI TIMU KUBWA AFRIKA…

0

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ ametuliza hali ya hewa ndani ya Klabu hiyo, baada ya aliyekua Afisa Mtendaji Mkuu ‘CEO’ Barbara Gonzalez kutangaza kujiuzulu. Barbara akithibitisha kujiuzulu juzi Jumamosi (Desemba 10), na kuzua taharuki kwa Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo ambao walihoji maswali mengi katika Mitandao ya Kijamii kuhusu kuondoka...

TETESI…BAADA YA SIMBA NA YANGA KUMSUSA….WACONGO WAMVUTA GEORGE MPOLE KWAO…

0

Wakati mshambuliaji George Mpole akizua sintofahamu kufuatia kuvunjwa mkataba na klabu yake ya Geita Gold, Jana ametua nchini DR Congo kukamilisha dili lake na moja ya klabu kubwa ya huko. Taarifa za uhakika zinadai zaidi ya asilimia 80 ni kwamba Mpole ambaye alikuwa mfungaji bora msimu uliopita ametua Jijini Lubumbashi tayari kwa kujiunga na matajiri wa FC Lupopo.

MKURUGENZI ZBS ACHUKUA FOMU KUWANIA UENYEKITI KLABU YA SIMBA…

0

MKURUGENZI wa Taasisi ya Viwango Zanzibar(ZBS) Yusuph Nassor amechukua Fomu ya Kuwania Nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ya Simba katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Januari 29 Mwaka 2023 . Kamati ya Uchaguzi wa Simba ilifungua mlango wa kuchukua fomu Desemba 5 kwa wagombea wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali ikiwemo ya Uenyekiti ambayo kwa Sasa ipo chini ya Murtaza Magungu aliyeuchaguliwa...

SIMBA WAKUBALIANA NA OMBI LA BARBARA….TRY AGAIN ATAJA SIKU YA KUMTAJA CEO MPYA….

0
Habari za Michezo

Uongozi wa Klabu ya Simba umeridhia uamuzi wa kujiuzulu kwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez na umeanza mchakato wa kutafuta mbadala wake. Barbara ataondoka rasmi kwenye Simba ifikapo Januari mwakani 2023, na tayari amewasilisha barua ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’. Barbara alitoa taarifao mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia akaunti yake ya Instagram,...