KISA USHINDI DHIDI YA HISPANIA…WAMOROCCO WAWAKANA WAARABU WENZAO…

0

Kocha Mkuu wa Timu ya taifa ya Morocco, Walid Regragui amesema anachofahamu ni kuwa timu yake inapambana kuliwakilisha Bara la Afrika na sio Ukanda wa waarabu kama inavyosemwa na baadhi ya watu. Baada ya jana kufanikiwa kuiondosha Timu ya Hipsania hapo jana kwa mikaju ya penati kunawalioanza kukejeli kuwa Morocco ni waarabu na hawajivunii kuwa wawakilishi wa Afrika. "Sipo hapa kujadiri...

AHMED ALLY APIGILIA MSUMARI DILI LA NTIBAZONKIZA KUTUA SIMBA…AGUSIA ISHU YAKE NA YANGA…

0

Uongozi wa Simba SC umesema unasubiri Ripoti ya Kaimu Kocha Mkuu Juma Ramadhan Mgunda, ili kuanza Mpango wa kukamilisha usajili wa Wachezaji watakaopendekezwa kupitia Dirisha Dogo. Simba SC imeshathibitisha kufanya usajili wakati wa Dirisha Dogo, ambalo rasmi litafunguliwa Desemba 16 na kufungwa Januari 15 mwaka 2023. Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amesema pamoja na na kujipanga...

BAADA YA KUULILIA SANA ‘WEMBE’…NDOA YA GEITA GOLD NA MPOLE YAVUNJIKA RASMI…

0

Klabu ya Geita Gold yenye maskani yake Mkoani Geita, imeachana na mshambuliaji wake George Mpole. Geita Gold haikuweka wazi sababu hasa za kuvunja Mkataba na mpachika nyavu huyo aliechukua kiatu cha ufungaji bora msimu wa 2021/2022 akimpiku Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele. George Mpole alikuwa na mvutano na mabosi wa Geita Gold kwa miezi kadhaa huku akijitenga na timu kwa kile...

KUHUSU USAJILI MPYA DIRISHA DOGO…SIMBA WATOA TAMKO RASMI…MFUMO UTAKAOTUMIKA NI HUU HAPA…

0

Uongozi wa Simba SC umethibitisha kufanya maboresho katika Kikosi chao kupitia Dirisha Dogo la Usajili, kwa kuzingatia mapendekezo ya Benchi la Ufundi linaloongozwa na Kaimu Kocha Mkuu Juma Ramadhan Mgunda. Dirisha Dogo la Usajili litafunguliwa rasmi Desemba 15, ambapo Klabu zote za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza, zitaruhusiwa kusajili wachezaji ambao wataboresha vikosi vyao. Meneja wa Habari na Mawasilino...

HILI NALO LISIKUPITE MTU WANGU…ZINGATIA HAYA ILI UJISHINDIE PIKIPIKI MPYAAA…

0

Je unauonaje msimu wa sikukuu za Chrismas na Mwaka Mpya? Umeshajua ni zawadi gani utampa umpendae au kujizawadia mwenyewe kwa kuumaliza Mwaka 2022 ukiwa salama, basi ukiwa unatafakari naomba nikusogezee habari nyeti kutoka Kampuni ya simu TECNO. TECNO imekujia na Zigo la Disemba ndani ya Mwezi huu wote ukinunua simu zao unajishindia Pikipiki na zawadi nyengine kibao. Kampuni ya simu...

CHAMA AMPELEKA NTIBAZONKIZA KWA SAKHO…MANULA AMZIDI KETE DIARRA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanspoti la leo Jumatano.

KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 NA MGUSO WA KIPEKEE KWA WATANZANIA….

0

Mwanzoni mwa mwaka huu unaoelekea ukingoni,Wakati ikielezwa namna Kombe la FIFA la Dunia kwa mwaka huu wa 2022 litakuwa na msisimko wa kipekee,wengi walikuwa na maswali kadhaa yaliyohitaji majibu. Ikiwa zimetimia takribani wiki 2 na siku kadhaa tangu michuano hii kuanza kutimu vumbi huko nchini Qatar maswali haya kutoka kwa mashabiki wengi wa soka yanathibitika kujibiwa na kiu inakatwa. Ubunifu wa...

YANGA WANAPOMKATAA KISINDA LEO HUKU WAKITAKA MUJIZA YA USAJILI…

0

Kuna mashabiki wa Yanga wanaamini Kisinda akiondolewa kikosini ghafla tu watapata bonge la winga linaloishi vichwani mwao. Mpira una njia zake, wanapaswa kumuheshimu Kisinda na makocha wanaompa nafasi ili aweze kuendana na mfumo wa timu. Wanayanga wanapaswa kufanya tathmini ya mechi toka mechi moja kwenda mechi nyingine ili kuepuka kukariri kwamba uchezaji wa Kisinda upo vile vile toka mechi ya...

KUHUSU SIHU YA KUTAKA KUACHANA NA YANGA…AUCHO KAIBUKA NA HILI JIPYA….

0
Habari za Yanga

Kiungo wa Yanga ambaye ni mchezaji bora wa Uganda kwa msimu uliopita, Khalid Aucho, amewataka mashabiki wa Yanga kuziba masikio na kuacha kusikiliza taarifa za uzushi kuhusu yeye. Aucho amepost picha yake katika ukurasa wake wa Instagram akiwa ameziba masikio na kuwataka mashabiki wake na familia ya Yanga kuacha kusikiliza taarifa za uzushi. Aucho ameandika hayo baada ya taarifa nyingi kuzagaa...

KWA TAKWIMU CHAMA AKASOME KWA SAIDO NTIBAZONKIZA…KAFUNIKWA VIBAYA MNOO…

0

Mshambuliaji wa Geita Gold, Saido Ntibazonkiza amezidi kuonyesha ufundi wake kwenye soka katika kufunga na kutoa pasi za mwisho. Ni Clatous Chama pekee ndio anaemzidi mchezaji huyo aliepata kupita kwa watani wa Simba, Klabu ya Yanga. Saido anahusishwa kutua Simba dirisha dogo ili kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Takwimu za Saido vs Chama. Saido Mabao -4 Asisti-6 Chama Mabao-2 Asisti-7