INFANTINO:- KAMA POMBE NI MUHIMU KULIKO KOMBE LA DUNIA…NAWAACHIA FIFA YENU…
Rais wa FIFA, Gianni Infantino amesema kama pombe ndilo suala kubwa linalopigiwa kelele kuelekea Kombe la Dunia basi atajiuzulu mara moja na kwenda ufukweni kupumzika. Infatino amesema kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza leo huko Qatar ni jambo jema tu. "Usipokunywa bia kwa masaa mawili matatu, unaweza kuishi kuna nchi nyingi zinapiga vita pombe viwanjani...
BAADA YA KUANZA KUTUPIA KAMA ‘JINI’…..MBOMBO AJITANGAZIA VITA AZAM FC…
Azam iko pale juu inaminyana na Simba na Yanga katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ikithibitisha kwamba inaitaka ndoo hiyo, huku straika wake aliye katika kiwango bora, Idris Mbombo akisema: “Mwaka huu mtajionea.” Mbombo ambaye ana mabao sita sawa na Moses Phiri wa Simba na Reliants Lusajo wa Namungo, wakizidiwa bao moja tu na kinara wa ligi, Sixtus Sabilo...
A-Z JINSI SIMBA ILIVYOIFANYIA UMAFIA RUVU SHOOTING JANA….YANGA WAJIBIWA KIBABE….
NYOTA na nahodha wa Simba, John Bocco imeng’aa kwenye mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting baada ya kufunga mabao matatu 'hat-trick' katika ushindi wa 4-0. Hii inakuwa ni hat-trick ya kwanza kwenye kikosi cha Simba huku ikiwa ni ya pili kwenye ligi baada ya Fiston Mayele wa Yanga kufunga kwenye mchezo wao dhidi ya Singida BS. Bocco ni mara yake ya...
KOCHA MPYA SIMBA HUYU HAPA…AMEWAHI KUFUNDISHA FULHAM YA EPL…FEI TOTO KUMFUTA SAMATTA UBELIGIJI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Raha la leo Jumapili.
HII HAPA SIRI YA JEZI NYEUSI YANGA…FEI TOTO ATIA NENO…HII SIMBA MPYA NI UTAMU KUNOGA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumapili.
FT: RUVU SHOOTING 0-4 SIMBA SC…..BOCCO AMJIBU MAYELE KIBABE….CHAMA SAWA NA MAJI TU…USIPOKUNYWA UTAYAOGA…
SIMBA SC imerejea Kileleni Kibabe baada ya Kuizamisha mabao 4-0 Timu ya Ruvu Shooting Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Baada ya kukaa mechi nyingi bila kufunga bao Mshambuliaji John Bocco amefufuka dhidi ya Ruvu Shooting kwa kufunga Hat-Trick yake ya kwanza ikiwa ya Pili Msimu huu wa Ligi mara baada...
KWA JERO TU….. SHABIKI WA SIMBA ASHINDA MAMILIONI JAKCPOT YA 10bet ….
Shabiki wa klabu ya Simba na Liverpool ya England Richard Mkumbo ameshinda Sh11 milioni kupitia jackpot ya katikati ya wiki ya kampuni ya 10bet Tanzania. Mkumbo ambaye ni mkazi wa Singida ameshinda kiasi hicho cha fedha baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 10 za ligi mbalimbali duniani kwa sh500 tu. ameshametia kibindoni Sh11 milioni kati ya jackpot ya 10bet Tanzania katikati...
BAADA YA KUONA MAMBO MAGUMU SIMBA…, OKWA MAPEMA TU ARUDISHWA KWAO NIGERIA…ISHU NZIMA IKO HIVI…
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, amesema kiungo wao mshambuliaji Okwa, anasumbuliwa na nyonga na ndio sababu haonekani kikosini. Mgunda ameyasema hayo jana Novemba 18, 2022 alipokuwa kwenye mkutano wa kuelekea mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting unaochezwa leo huku Wekundu hao wakiwa wageni. "Nimekuwa nikisema na labda niseme tena, Okwa anaumwa. Alikuja akiwa ni mgonjwa, alituambia tatizo hilo...
KISA USHINDI WA GOLI 4-1 WA YANGA JUZI…JEMEDARI SAID AWAGEUKA SIMBA…AWAPA ‘MAKAVU LIVE’ KUHUSU TABIA ZAO…
Mchambuzi maarufu wa Soka nchini, Jemedari Said amewashtukia baadhi ya mashabiki ambao wamekuwa wakiponda ushindi wa Klabu ya Yanga wakidai kuwa ananunua mechi pasi na uthibitisho wa kauli hizo. Kauli hiyo ya Jemedari inakuja ikiwa ni siku moja baada ya Yanga kuichakaza vibaya Singida Big Stars hapo jana kwa kuifunga bao 4-1 katika Dimba la Mkapa. "Hii Nchi ina watu wa...
BAADA YA KUFANANISHWA NA ‘PANYA’…ROONEY AJIBU MASHAMBULIZI KWA RONALDO…
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Wayne Rooney amefunguka na kumjibu Cristiano Ronaldo ambaye amemuita “panya" katika mahojiano yake na Piers Morgan. Akijibu swali juu ya mahojiano hayo Rooney amesema: “Sawa, sikiliza, Cristiano Ronaldo ni mchezaji mzuri na, kama nilivyosema hapo awali, yeye na Messi ndio wachezaji wawili bora zaidi kuwahi kucheza soka.” “Na, nilichokisema sio ukosoaji. Nilichosema ni umri unakuja kwa...