PAMOJA NA KUTOPEWA UKOCHA MKUU MPAKA SASA…MGUNDA KAAMUA KUFUNGUKA SIRI ZAKE NA SIMBA…

0

Simba imeendelea kunoga baada ya juzi kuichapa Mtibwa Sugar mabao 5-0 kwenye mchezo ya Ligi Kuu uliofanyika Uwanja wa Mkapa, huku kocha Juma Mgunda akisifia kiwango cha nyota wake, hasa washambuliaji. Mgunda alisema haikutokea ghafla kushinda mabao matano ambayo ni mengi kufungwa kwenye mchezo mmoja na timu moja kwenye ligi msimu huu, lakini ni maandalizi makubwa waliyofanya mazoezini. Alitaja eneo la...

MATAA YANGA WAAPA ‘KULALA’ NA WATUNISIA LEO…WATENGEWEA NUSU BILIONI KUMALIZA KAZI DAR…

0

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano.

MEXIME AANZA NA GUU LA USHINDI KAGERA SUGAR…KMC ‘WADONDOKEWA NA MENDE’…

0

Bao pekee la Anuary Jabir dakika ya 76 limetosha kuipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Kwa ushindi huo, Kagera Sugar inafikisha pointi 11 na kusogea nafasi ya 11, wakati KMC inabaki na pointi zake 13 nafasi ya nane baada ya...

AHMED ALLY : YANGA WATATOLEWA TU…WANATAKIWA KUWA NA CHAMA ILI WASHINDE KESHO…

0
Habari za Michezo leo

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally ameitakia kila la kheri Young Africans kuelekea mchezo wa Hatua ya Mtoano Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Young Africans itakua mwenyeji wa Mchezo wa Mkondo wa Kwanza utakaorindima Uwanja wa Benjamin Mkapa kesho Jumatano (Novemba 02), huku ikihitaji ushindi utakaoiweka kwenye mazingira mazuri ya...

BAADA YA ‘KUPEWA MAKAVU LIVE’ NA WABONGO…OKRAH AWAJIBU HIVI KUPITIA TWITTER…

0
Habari za Simba

Winga wa Simba SC mwenye kasi na ujuzi wa kukaa na mpira ambaye ni raia wa Ghana, Agustine Okrah ametumia mtandao wake wa kijamii kuwashukuru mashabiki zake kwa kumkosoa kutokana na makosa aliyokuwa akiwayafanya kwenye michezo iliyopita. Okrah Magic, katika mchezo wa jana aliisaidia timu yake ya Simba kupata ushindi mnono wa magoli 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, ikiwa pia...

HAWA HAPA MASTAA WA TIMU YA TAIFA WALIPATA SHAVU LA KUSAJILI UTURUKI…

0

Nyota 10 wa timu ya taifa ya soka kwa watu wenye ulemavu (Tembo Warriors) wamesajili kucheza soka la kulipwa nchini Uturuki. Wachezaji hao ni Alfan Kyanga, Juma kidevu, Habibu Likoike na Shedrack Hebron waliosajiliwa kwenye klabu ya Sisli Yeditepe. Wengine ni Abdulkarim Amiri na Salimu Bakari waliosajiliwa na klabu ya Keysari na Ramadhan Chomelo aliyejiunga na klabu ya Konya. Wakati Frank Ngailo...

MGUNDA AIBUKA NA HAYA MAPYA KUHUSU OKWA NA YANAYOMSIBU…”NILIMUONDOA”…

0

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Ramadhana Mgunda amejibu maswali ya baadhi ya Mashabiki wa klabu hiyo kuhusu kutoonekana kwa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Nigeria Nelson Okwa. Okwa hakuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC kilichoikabili Mtibwa Sugar juzi Jumapili (Oktoba 30), katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Kocha Mgunda...

WATUNISIA WAITISHA YANGA…KOCHA WAO ATUMIA MBINU ZA KIJASUSI KUMTETEMESHA NABI…

0

Kocha Mkuu wa Club Africain Bertrand Marchand amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa Mkondo wa Kwanza Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Young Africans. Club Africain itacheza mchezo huo kuwania nafasi ya kutinga Hatua ya Makundi, ikianzia ugenini Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es salaam kesho Jumatano (Novemba 02), kisha itamalizia nyumbani kwao Tunis-Tunisia Novemba 09. Kocha...

KUELEKEA MECHI YA KESHO…NABI ATOA KISINGIZIO MAPEMA….AWATUPIA LAWAMA TFF KWA ‘KUMSINCHI’…

0
Habari za Yanga

Wakati kikosi cha Yanga kikishuka uwanjani kesho kwenye mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania nafasi ya kutinga makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Club Africain ya Tunisia, Kocha Mkuu wa timu hiyo Nasreddine Nabi amelalamikia ugumu wa ratiba unaowakabili. Akizungumza na Wanahabari jijini Dar es Salaam, Nabi amesema kutokana na ugumu wa ratiba inayowakabili waliomba kwenye Shirikisho la Mpira...

BAADA YA KUGUNDUA MAYELE ATAKUWEPO KESHO…WATUNISIA WAANZA MBAMBAMBA ZAO MAPEMA…KOCHA WAO ALIA…

0
Habari za Yanga

Kocha Mkuu wa Club Africain, Bertrand Marchand amesema moja ya staa wa Yanga anayemuhofia katika mchezo wa kesho wa mchujo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ni Fiston Mayele. Kwenye kikosi cha Yanga, Mayele ndiye kinara wa mabao kwenye Kombe la Afrika baada ya nyota huyo kutupia jumla ya mabao saba katika hatua zilizopita dhidi ya Zalan kutoka Sudan Kusini na...