KISA KUPIGWA SANA BENCHI ….OKWA AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATOA MSIMAMO WAKE…

0

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Nigeria Nelson Okwa anaamini mabadiliko ya Benchi la Ufundi Simba SC, ndio sababu kubwa inayomfanya kushindwa kuingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza. Simba SC ilifanya mabadiliko ya Benchi la Ufundi, baada ya kuachana na Kocha Zoran Maki kutoka Serbia na nafasi yake kuchukuliwa na Kocha mzawa Juma Ramadhan Mgunda mwanzoni mwa mwezi uliopita. Okwa aliyesajiliwa...

BAADA YA MBAMBAMBA NYIINGIII…HATIMAYE YANGA KUITUMIA SIMBA KUTINGA MAKUNDI CAF..

0
Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amezungumza kuhusu maandalizi yao kuelekea mchezo wao wa mtoano ili kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Club Africain ya Tunisia ambao utachezwa Novemba 2, 2022 kwenye Dimba la Mkapa jijini Dar es salaam. Kamwe amesema kwamba, maandalizi yao kuelekea mchezo huo yanaanza na mechi dhidi ya watani wao...

KUHUSU ISHU YA NABI KUFUKUZWA YANGA….ALLY KAMWE AANIKA ‘CODE’ ZA UKWELI WA MAMBO…

0
Habari za Yanga SC

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe ametolea ufafanuzi taarifa mbalimbali ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na kufukuzwa kwa kocha wao mkuu Nasreddine Nabi kutokana na kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa. Ally Kamwe amesema kwamba taarifa zinazosambaa ni mawazo na mitazamo ya wachambuzi wa soka hapa nchini na siyo msimamo wala mawazo ya uongozi...

KUELEKEA KARIAKOO DABI….CHAMA, PHIRI NA BOCCO WATOLEWA CHAMBO…AHMED ALLY AANIKA SABABU…

0

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally ametamba kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Young Africans, huku akiwataja baadhi ya wachezaji wanaounda kikosi cha Mnyama. Wachezaji Moses Phiri, Clatous Chotta Chama na John Bocco ni sehemu ya wachezaji waliotajwa na Ahmed Ally, akiamini watatosha kuimaliza Young Africans Jumapili (Oktoba 23), Uwanja wa...

MAYELE: TULICHOTAKA KUKIFANYA SUDAN …TUTAKIFANYA JUMAPILI KWA SIMBA….

0
Habari za Yanga

Hasira ya Kufungwa na Kutolewa kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Al Hilal ya Sudan, huenda ikawa Silaha itakayotumiwa na Wachezaji wa Young Africans kuiangamiza Simba SC Jumapili (Oktoba 28). Miamba hiyo ya Soka la Bongo inakwenda kukutana Uwanja wa Benjamin Mkapa, ikitoka kushiriki Michuano ya Kimataifa mwishoni mwa juma lililopita, ambapo Simba SC ilikutana na Primeiro...

MIEZI KADHAA BAADA YA KUACHANA NA YANGA…NTIBAZONKIZA AVUNJA UKIMYA…AIBUKA NA HAYA MAPYA…

0

Nyota wa zamani wa Yanga, Mrundi Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ ambaye kwa sasa anakipiga Geita Gold ameweka wazi tofauti zilizopo kati ya chama lake hilo la zamani na timu nyingine za Ligi Kuu. Saido ameeleza Yanga ina utofauti mkubwa na timu nyingine kutokana na namna inavyoendeshwa, uchezaji wake na mazingira ya wachezaji kuwa tofauti na hilo ndilo linaifanya iendelee kuonekana kubwa. “Unaweza...

BAADA YA KUVURUNDA…MORRISON AIANGUKIA YANGA….AOMBA MSAMAHA ADHARANI…

0
Habari za Yanga

Staa wa klabu ya Yanga, Bernard Morrison ameomba radhi wanachama, mashabiki na wapezi wa klabu hiyo baada ya kutolewa kwenye ligi ya Mabingwa Afrika na Al Hilal ya Sudan. Morrison amesema kwa sasa wanajipanga kufanya vizuri kwenye mechi za ligi na kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Afrika. "Kwa uongozi na mashabiki wa Yanga, tunaomba watuwie radhi kutokana...

MANARA ATUPA DONGO HILI JIPYA SIMBA…ADAI KILA ‘MBWA’ HUMJUA BOSS WAKE…

0
Habari za Yanga

Kutoka kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Instagram wa aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga SC, Haji Manara ameandika “Tukutane October 23 tuile Nyama yetu. Kila Mtu na Mtuwe na kila Mbwa humjua boss wake. Nunua sasa Tiketi yako mapema uone Mwali kwa Ngariba wake anavyokuwa Izeeeeeeeee, lainiiiiiiiiiii” Oktoba 23, 2022 kutakuwa na mchezo kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC...

AHMED ALLY : MECHI DHIDI YA SIMBA, YANGA WAICHUKULIA KAMA WORLD CUP YAO….

0
Habari za Simba

Msemaji wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema katika mchezo wa Jumapili, Oktoba 23, 2022, timu yao haitaruhusu wapinzai wao wa Jadi, Yanga kuondoka na ushindi kwani wamejidhatiti kuondoka na pointi tatu muhimu. “Pamoja na ukubwa tulionao Afrika lakini ni lazima tutawale soka la ndani. Lazima vilabu vya ndani vituogope kama wanavyotuogopa wengine huko nje. Hapo ndo inakuja umuhimu...

HUYU HAPA KAPOMBE….YANGA MJIANDAE KUITA MAJI ‘MMA’ HIYO JUMAPILI…

0

Nyota wa Simba, Shomari Kapombe anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wataanza maandalizi kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Simba na Yanga ambao ni watani wa jadi wanatarajiwa kumenyana Oktoba 23,2022 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa timu zote mbili mpaka sasa kwenye ligi...