KUELEKEA MECHI YA CAF JUMAPILI…MGUNDA AWAANDALIWA WAMALAWI PIRA LA KITANGA….WAKIGUSA WANANATA WENYEWE….
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba, amesema kuwa wanatambua mchezo wao ujao dhidi ya Big Bullets utakuwa mgumu hivyo wanajipanga kupata matokeo.Mgunda ana kibarua cha kuiongoza timu hiyo kwenye mchezo ujao wa kimataifa ambao ni wa awali baada ya ule wa kwanza kushinda. Mchezo huo dhidi ya Big Bullets unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 18, saa 1:00 usiku.Katika mchezo...
JICHO LA MGALILAYA : HILI LA TUISILA KISINDA LINA HARUFU YA RUSHWA….NINI KIMEWALAINISHA TFF ..?
Bodi ya ligi ndio waliosema Tuisila usajili umekataliwa Kwa kuwa Yanga walishatimiza wachezaji 12 na tayari wamepewa leseni. Na hao hao ndio Leo wamemruhusu kucheza. Tuliambiwa Yanga walikataliwa Kwa sababu walisema wamegundua Kambole ana majeraha ya muda mrefu hivyo hawezi kutumika msimu huu. Hivyo wakaamua kubadili jina Kwa sababu hizo. Leo inatoka kauli Kambole ameuzwa kwenye timu inayotoka Uganda. Hiyo...
ISHU YA KAGERE NA WENZAKE KUANZA KWA ‘MGUU WA KUSHOTO’ SINGIDA….KOCHA WAO AVUNJA UKIMYA ..ATAJA CHANZO…
MATHIAS Lule, Kocha Msaidizi wa Singida Big Stars amesema kuwa wachezaji wote ambao wapo ndani ya kikosi hicho watapata nafasi ya kucheza.Singida Big Stars kwa sasa inaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa Septemba 21.Miongoni mwa mastaa ambao wapo ndani ya kikosi hicho ni pamoja na Amis...
BAADA YA MALALAMIKO KUWA MENGI….HATIMAYE BODI LA LIGI WAIBUKA NA KAULI HII KWA WAAMUZI LIGI KUU…
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imesema baadhi ya waamuzi wanakosa ujasiri, kuwasiliana, mwendelezo na kutumia akili ya kuzaliwa wanapochezesha mechi mbalimbali hapa nchini na ofisi yake inawakumbusha ili mwamuzi awe bora ni lazima awe na vitu hivyo, imefahamika.Akizungumza na Kamati ya Waamuzi, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPLB, Almasi Kasongo, alisema kumekuwa na malalamiko mengi kwa waamuzi lakini ikifuatiliwa...
KIPA LIGI KUU ALIA KUDHALILISHWA NA SHUTI LA AZIZ KI…
Kipa wa Mtibwa Sugar, Farouk Shikhalo amekiri ameumia timu yake kupoteza mchezo wa kwanza katika Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini kati ya mabao matatu aliyotunguliwa, lile la tatu la kiungo mshambuliaji, Stephane Aziz Ki ndilo lililomuumiza zaidi.Katika mchezo huo wa raundi ya nne uliopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga iliibuka na ushindi wa 3-0 mabao yaliyofungwa na...
AHMED ALLY : TULIACHANA NA ZORAN KWA SABABU ALIKATAA BAADHI YA WACHEZAJI WETU…
Msemaji wa Simba Ahmed Ally amesema miongoni mwa sababu ambazo ziliwafanya wasikie hatua ya kuachana na aliyekuwa Kocha wao Mkuu Zoran Maki ni kuwakataa baadhi ya wachezaji.Ahmed ameyasema hayo Septemba 16, 2022 alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi TV akielezea maandalizi yao ya mchezo dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi ambapo alipoulizwa kuhusu sababu ya kuachana na Zoran ndipo...
BAADA YA KISINDA KURUHUSIWA KUCHEZA LIGI KUU…JEMEDARI SAIDI AIBUKA NA KUTUPA KOMBORA HILI KWA TFF..
Mdau wa Soka la Bongo Jemedari Said Kazumari amekosoa maamuzi ya Shirikisho la soka Tanzania ‘TFF’ ya kuruhusu Usajili wa Kiungo Mshambuliaji kutoka DR Congo Tuisila Kisinda kujiunga na Young Africans kama mchezaji wa Kimataifa.TFF ilizuia usajili wa Kiungo huyo kwa kigezo cha Young Africans kuwa na idadi ya wachezaji 12 wa Kimataifa waliosajiliwa kwa msimu wa 2022/23, lakini...
KUELEKEA MECHI YA CAF KESHO….MASTAA WAKUBWA YANGA KUKOSEKANA…NABI AANZA KULIA NA RATIBA KUBANA…
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema anatarajia kuwakosa wachezaji wake watatu kwenye mchezo wa kesho Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan.Yanga watakuwa wenyeji kwenye mchezo huo unaochezwa kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam wakishuka dimbani wakiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi wa mabao 4-0 katika mechi ya kwanza iliyochezwa uwanja huo.Nabi alisema anatarajia kumkosa Djuma...
EHE…KUMBE ULE USHINDI WA SIMBA JUZI DHIDI YA TZ PRISONS KUNA MENGI YALIFANYIKA..? MKUDE KAFUNGA HAYA A-Z…
JONAS Mkude, kiungo wa Simba amesema uwa haikuwa kazi rahisi kushinda mbele ya Tanzania Prisons kutokana na ugumu wa timu hiyo.Mkude alipachika bao la ushindi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine, dakika ya 85 kwa pasi ya Kibu Dennis.“Kucheza na Tanzania Prisons kunahitaji kujipanga na timu ambayo itapata nafasi inaweza kushinda hivyo tulifanya maandalizi mazuri na tulipambana kusaka ushindi,”...
UNAIKUMBUKA ILE ‘MOMENTI’ YA AZIZ KI KUSHANGILIA NA MAKAMBO JUZI…BASI KUMBE NYUMA YA PAZIA KUNA HILI KATI YAO…
SABABU kubwa ya Aziz KI kumfuata Heritier Makambo baada ya kufunga bao mbele ya Mtibwa Sugar ni ahadi ambayo alipewa.Mtu wa karibu wa wachezaji hao amesema kuwa Makambo alimuamuambia Aziz KI kuwa atafanya jambo lolote kwenye mchezo huo kufunga ama kutoa pasi.“Makambo alipokuwa benchi alimuambia Aziz KI nenda uwanjani una bao lako hapo kama sio bao itakuwa ni asisti,”...