ILI KUEPUSHA YASIJE KUJITOKEZA YA MWAKINYO….TWAHA KIDUKU APATA MBELEKO YA MBUNGE…MCHONGO MZIMA UKO HIVI…

0

Akiwa katika maandalizi ya kuelekea Pambano lake la Septemba 24 dhidi ya Bondia kutoka nchini Misri Abdo Khaleed, Bondia Twaha Kiduku amepokea taarifa njema kutoka kwa Mbunge wa Morogoro Mjini Abdulaziz Abood.Twaha Kiduku atazichapa katika Pambano hilo la Kimataifa la kuwania mkanda wa UBO mjini Mtwara, huku Mashabiki wa Masumbwi Tanzania wakiwa na matumaini ya kuona akifanya vizuri.Mbunge Abood...

KIMEUMANA CHELSEA….TUCHEL NAYE ‘KALIWA KICHWA’ MCHANA HUU…

0

Hatimaye Uongozi wa Klabu ya Chelsea ya England umefikia makubaliano ya kuachana na Meneja wa kikosi chao Thomas Tuchel baada ya kuwa na muendelezo usioridhisha ndani ya klabu hiyo.Klabu hiyo iliyo chini ya umiliki wa Mfanyabiashara wa Marekani na mmiliki wa kampuni ya Eldridge Todd Boehly na Cleaverlake imetoa taarifa juu ya kufikia makubaliano na Tuchel kuacha kuinoa klabu...

RASMI….TFF WAKUBALI KUKAA KIKAO KUJADILI ISHU YA KISINDA NA ONYANGO…HAKUMU ZAO KUSOMWA IJUMAA…

0

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji inatarajiwa kukutana Ijumaa kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na suala la Tusisila Kisinda winga ambaye amesajiliwa Yanga.Ikumbukwe kwamba Kisinda amesajili Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane lakini usajili wake umekwama kukamilika kutokana na usajili wake kuchelewa kwa mujibu wa kanuni ya 62, (1) ya ligi kuu toleo la 2022.Inaelezwa kuwa kamati...

BAADA YA SOKA LA KIBABE JANA….HII HAPA RATIBA NZIMA YA MPAPATUKO WA LIGI KUU YA NBC KWA LEO…USIKOSE….

0

LEO Septemba 7 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo timu zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu.Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.Ni Seleman Matola atakiongoza kikosi hicho ambacho kwenye mchezo wa leo baada ya Zoran Maki kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake.Pointi sita wanazo Simba wakiwa...

MWAMUZI WA YANGA vs AZAM AKALIWA KOONI….KACHAMBULIWA NA KUSASAMBULIWA KAMA MCHELE…

0

Mwandishi wa habari za Michezo Mwandamizi nchini Tanzania Abdul Mkeyenge ameamka na kumlaumu waziwazi Mwamuzi Ahmed Arajiga aliyechezesha mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mabingwa watetezi Young Africans dhidi ya Azam FC, jana Jumanne (Septemba 06).Miamba hiyo ya Dar es salaam ilikutana Uso kwa Macho Uwanja wa Benjamin Mkapa na kumbulia matokeo ya sare ya 2-2, huku...

PAMOJA NA YOTE ALIYOFANYIWA…ZORAN MAKI KAONA ISIWE KESI..KAAMUA KUWAACHI SIMBA UJUMBE HUU MZITO…

0

Siku moja baada ya kuondoka Simba SC, Aliyekua Kocha Mkuu wa klabu hiyo Zoran Maki ametoa neno la shukurani kwa Viongozi, Wachezaji na Mashabiki.Zoran aliondoka rasmi Simba SC jana Jumanne (Septemba 06), baada ya kuvunja mkataba wake kwa makubaliano na Viongozi wa Simba SC, na baadae ikathibitika amejiunga na Klabu ya Ittihad ya Misri.Kocha huyo kutoka nchini Serbia ametumia...

PAMOJA NA KUTOPATA NAFASI YA KUCHEZA….NGUSHI AFANYIWA HILA YANGA…JINA LAKE LAKOSEKANA USAJILI WA CAF…

0

Mshambuliaji Crispin Ngushi hatoichezea Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya klabu hiyo kutosajili jina lake litumike katika mashindano hayo msimu huu.Orodha iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ikionyesha usajili wa Yanga kwa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, haina jina la Ngushi huku ikifafanua kuwa klabu yake haijamjumuisha."Mchezaji Crispin Ngushi hakupitishwa na...

SAKATA LA KISINDA…KIGOGO TFF AVUNJA UKIMYA…AFUNGUKA A-Z WENZAKE WALIVYOBORONGA…KUMBE SABABU NI ….

0

Aliyekua Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ wakati wa Utawala wa Rais Jamal Emil Malinzi, (Eliud Mvela) ameingilia kati sakata la usajili wa Kiungo Mshambuliaji kutoka DR Congo Tuisila Kisinda aliyesajiliwa Young Africans akitokea RS Berkane.Ulingo wa Soka la Bongo umegubikwa na sakata la kiungo huyo baada ya...

ISHU YA MWAKINYO KUPIGWA JUZI…SERIKALI YAINGILIA KATI…YATAKA MAJIBU YA KINA…ILIKUWAJE KUWAJE….

0

Waziri wa Utumaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (Mb), amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kukutana mara moja na Baraza la Michezo la Taifa (BMT) pamoja na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) ili kutathmini mwenendo wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) na kuandaa mkakati wa pamoja wa kuhakikisha...

YANGA WASISITIZA KISINDA KUTUMIKA LIGI KUU…DEJAN ABAKI SIMBA KWA MASHARTI…BARBARA AMTAJA KOCHA AJAYE…

0

Pitia ukrasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano.