Fei Toto Kurejea Uwanjani: Azam FC Kuikabili Geita Gold Ligi Kuu Bara
Kiungo mchezeshaji hatari wa Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’, Ijumaa ya Agosti 28 anatarajiwa kuanza rasmi kampeni zake za Ligi Kuu Tanzania…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Azam FC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. <strong>Soka la Bongo</strong> inakuletea habari za<strong> Azam FC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
Kiungo mchezeshaji hatari wa Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’, Ijumaa ya Agosti 28 anatarajiwa kuanza rasmi kampeni zake za Ligi Kuu Tanzania…
Winga mpya na machachari wa Azam FC, Henock Molia, ameshindwa kuzuia furaha yake baada ya kufungua akaunti ya mabao katika Ligi Kuu…
Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuwa na subira na kuondoa wasiwasi juu ya kiwango cha…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amekiri kuwa kikosi chake bado hakijafikia kiwango cha ushindani kinachotakiwa kwa msimu wa 2026/2027, kufuatia…
Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wameingia katika msimu mpya wa soka wakiwa na mipango mikubwa na ya kishindo.…
Rais wa Azam FC, Nassor Idrissa ‘Father’, hatimaye amevunja ukimya na kuweka mambo hadharani kuhusu tetesi zinazomhusisha kiungo wao machachari, Feisal Salum…
Azam FC Kuandika Historia Leo: Kutangaza Bajeti ya 2026/27 kwa Mtindo wa Bunge! Klabu ya Azam FC leo inatarajiwa kuandika ukurasa mpya…
Klabu ya Azam FC imepata afueni kubwa katika maandalizi yake ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kwa msimu…
Uongozi wa klabu ya Azam FC umevunja ukimya na kuweka wazi msimamo wake kuhusu hatma ya kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’,…
Klabu ya Azam FC imeendelea kutikisa soko la usajili nchini baada ya kukamilisha rasmi usajili wa beki wa kati raia wa Ubelgiji,…
UONGOZI wa Azam FC huenda ukaachana na winga wa kikosi hicho Mnigeria, Abel Abah baada ya kutoridhishwa na kiwango chake tangu alipojiunga…
AZAM inahaha kumrudisha kundini mshambuliaji wake, Jephte Kitambala ambaye amebakiza hatua chache kumalizana na Singida Black Stars iliyomchukua kwa jeuri ya fedha.…