Winga Mganda Anukia Azam
UONGOZI wa Azam FC, uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa winga raia wa Uganda, Hassan Mubiru kutokea SC Villa…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Azam FC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. <strong>Soka la Bongo</strong> inakuletea habari za<strong> Azam FC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
UONGOZI wa Azam FC, uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa winga raia wa Uganda, Hassan Mubiru kutokea SC Villa…
MMILIKI wa Azam FC, Jamal Bakhresa, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuikosoa timu ya waamuzi kufuatia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya…
BEKI wa Azam FC, Nathaniel Chilambo, amempa sifa kocha mkuu wa timu hiyo, Florent Ibenge namna anavyowapa nafasi wachezaji na imekuwa moja…
KATIKA harakati za kuimarisha kikosi kuelekea msimu wa 2026/27, Azam FC imeanza mazungumzo ya kumuwania beki wa kushoto wa Coastal Union, Aidan…
KUNA wakati pesa inakupa kile unachotaka, na ni mara chache inaweza kukunyima kile unachotamani. Azam FC imepata kile inachotaka baada ya kufanikiwa…
USHINDANI wa kuwania kiatu cha ufungaji bora katika NBC Premier League msimu wa 2025/26 umeanza kupamba moto mapema, huku washambuliaji mbalimbali wakionyesha…
UONGOZI wa Azam FC, umeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya winga wake Idd Seleman ‘Nado’ wakati huu wa sasa kufikia ukomo mwishoni…
KOCHA Msaidizi wa Azam, Kassim Liogope, amesema kitendo cha kukutana na Yanga kwa mara tano ndani ya msimu mmoja, kwao inawapa picha…
KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Himid Mao baada ya kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja, ames-ema matarajio yake msimu ujao ni kuongeza…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema ushindi walioupata dhidi ya Yanga katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho…
KIUNGO wa Azam FC, Himid Mao, amesema kikosi hicho hakina muda wa kusherehekea kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, badala…
KATIKA mchezo wa kusisimua uliosheheni ushindani mkubwa na mabao ya aina ya kipekee, Azam FC imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho…