KUELEKEA MECHI DHIDI YA SIMBA…MAYELE AFUNGUKA ATAKAVYOWATETEMESHA KINA ONYANGO….
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema katika mchezo ujao dhidi ya Simba, wataingia uwanjani wakiwa hawana presha ya ubingwa ambayo itawafanya…
Browse all posts in this category.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema katika mchezo ujao dhidi ya Simba, wataingia uwanjani wakiwa hawana presha ya ubingwa ambayo itawafanya…
JOPO la madaktari wa Yanga chini ya Mtunisia, Youssef Ammar, umewaruhusu viungo wao, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Khalid Aucho kuanza mazoezi…
Kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka timu yake haimtegemei mchezaji mmoja kwani imekamilika kila idara na kila anayepewa nafasi anaonyesha…
KLABU ya Simba imefafanua sababu za mchezaji wake, Bernard Morrison kuzuiliwa kuingia nchini Afrika Kusini baada ya kufanya makosa nchini humo. “Morrison…
Kipa wa Polisi Tanzania, Metacha Mnata amedai si sahihi kuwabeza mastraika wa Simba, Meddie Kagere, Chris Mugalu na John Bocco kwani mpira…
KATIKA kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Orlando Pirates, uongozi wa Simba umepanga kuwahamisha kambi wachezaji wa…
WINGA wa Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini, Gabadinho Mhango, ametaja sababu kubwa inayowafanya Simba kupata matokeo mazuri katika michezo ya nyumbani…
KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewapiga mkwara mastaa wake kwa kuwataka kutofikiria mchezo wa Dabi ya Kariakoo na badala yake…
UONGOZI wa Simba SC, umesema hivi sasa nguvu zao wamezielekeza katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya…
Mburkinabe Stephane Aziz Ki, anayemalizia mkataba wake na timu ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast, amesema bado yupo katika mazungumzo ya mwisho…
Uongozi wa Simba SC umesema hauna mpango wa kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Young Africans, uliopangwa…
Wakati Msimu wa 2021/22 ukielekea ukingoni huku Young Africans ikipewa nafasi ya Kutwaa Ubingwa wa Tanzania Bara kwa mara ya kwanza…