KUELEKEA LIGI YA MABINGWA MSIMU UJAO….CAF WAMUUMBUA MANARA…YANGA YAPANGWA KUANZA WALIPOISHIA …
Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ leo Jumatatu (Juni 06) limethibitisha klabu ya Young Africans itaanzia hatau ya awali ya Michuano ya…
Browse all posts in this category.
Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ leo Jumatatu (Juni 06) limethibitisha klabu ya Young Africans itaanzia hatau ya awali ya Michuano ya…
Klabu ya Young Africans imekanusha uvumi wa kumuwani Mshambuliaji kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati na klabu ya Vipers ya Uganda Cesar…
Yanga tayari ina uhakika wa kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao na kocha Nasreddine Nabi amesema anahitaji kambi ya siku 30…
MABOSI wa Yanga wanakuna kichwa baada ya Waarabu wa RS Berkane ya Morocco waliobeba taji la Kombe la Shirikisho Afrika msimu…
YANGA ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa Mzambia, Lazarous Kambole, anayekipiga Klabu ya Kaizer Chiefs ya…
Hadi sasa Yanga imemalizana na mastaa watatu tu kati ya 10 wanaomaliza mikataba yao mwishoni mwa msimu huu. Wachezaji waliopata mikataba ni…
KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi ameondoka nchini jana kenda mapumziko nchini Ubelgiji, lakini alipoulizwa kuhusu usajili wa Bernard Morrison Yanga akahamaki na…
Msemaji wa Young Africans Haji Sunday Ramadhan Manara, ametamba klabu hiyo itafanya usajili mkubwa utakaozingatia ripoti ya Benchi la Ufundi. Young Africans…
Wakati Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara msimu wa 2021/22 ikielekea ukingoni, Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele anahusishwa na mpango…
Mastaa 14 ndani ya kikosi cha Yanga, wapo kwenye hesabu za kufyekwa kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa…
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye mpango wa kuinsa saini ya kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas Aziz Ki ili aweze kuongeza nguvu kwa…
Ni rasmi kwamba Yanga imetangaza kuachana na Saido Ntibazonkiza. Siyo huyo tu imefuta pia mpango wa kumsajili beki wa Uganda, Mustafa Kizza…