MASTAA WAPYA WAIBUA VITA YANGA….WACHEZAJI WALIOKUWEPO WAANZA KUONGEA…
Majembe mapya yaliyoongezwa ndani ya kikosi cha Young Africans yameongeza ugumu wa namba katika kikosi hicho, jambo linalowafanya wachezaji wote kujituma kwa…
Browse all posts in this category.
Majembe mapya yaliyoongezwa ndani ya kikosi cha Young Africans yameongeza ugumu wa namba katika kikosi hicho, jambo linalowafanya wachezaji wote kujituma kwa…
KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewaambia mabosi wa timu hiyo wafanye kila wanaloweza apate mchezo wa kirafiki kabla ya kurejea katika…
Yanga inaendelea kujifua kambini Avic Town Kigamboni ikijiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho…
Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Awesu Awesu amesenma anavutiwa na kiwango cha Kiungo Mshambuliaji wa Young Africans, Pacome Zouzoua na amekuwa akimfuatilia kila…
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amewaambia mabosi wa timu hiyo wafanye kila wanaloweza apate mchezo wa kimataifa wa kirafiki kabla…
Aliyekua Kiungo Mshambuliaji ‘WINGA’ wa Young Africans, Jesus Moloko, amesema anaondoka Tanzania huku akiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindani uliopo katika Ligi…
USAJILI wa mshambuliaji Joseph Guede na Augustine Okrah utamfanya kocha Miguel Gamondi kuwa na machaguo mengi na kuzidi kuifanya timu hiyo iwe…
Baada ya kukamilisha usajili wa Mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Joseph Guede na kumtambulisha rasmi usiku wa kuamkia jana Jumanne (Januari…
Uongozi wa Beki wa kushoto wa Young Africans raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala umefikia makubaliano mazuri ya kuongeza mkataba mwigine…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema ameongeza dozi ya mazoezi kwa kuwafanyika mazoezi wachezaji wake mara mbili kwa siku, ili wale…
Straika Hafiz Konkoni amekiri kufikia makubaliano na Yanga kutolewa kwa mkopo, ambapo kwa sasa amesisitiza anahitaji kwenda nyumbani kwao Ghana, akapumzishe akili…
Klabu ya Yanga imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Joseph Guédé Gnadou akiwa mchezaji huru baada ya kuachana klabu…