KOMBE LA DUNIA YA VILABU SIMBA NDANI…. FIFA YATOA TAMKO HILI
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) leo limetaja timu ambazo zipo katika nafasi ya kuweza kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia kwa…
Browse all posts in this category.
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) leo limetaja timu ambazo zipo katika nafasi ya kuweza kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia kwa…
Mabosi wa klabu kongwe nchini, Simba na Yanga wanaendelea kukuna vichwa juu ya kuchagua viwanja gani vya kutumika kwenye mechi zao za…
Serikali imevifunga viwanja vya Benjamin Mkapa na Uhuru, Dar es salaam mpaka hapo ukarabati utakapokamilika Oktoba 2024. Taarifa ya serikali imekuja baada…
Kutoka kwa semaji la CAF, Ahmed Ally…. Kwenye sanaa ya Mawasiliano hakuna katika nyie anaweza kunifikia hata robo ndo maana nyie mkaajiriwa…
Ally kamwe ameijia juu Interview ya Ahmedy Ally aliyoifanya jana baada ya Simba kupata Sare dhidi ya Kmc akisema wachezaji wao hawajitumi.…
SIMBA kimya kimya ipo kwenye hatua za mwisho kusaini mastaa wapya kikosini hapo watakaoingia kwenye dirisha dogo la usajili lililowazi hadi Januari…
Uongozi wa Simba SC upo katika wakati mgumu wa kufanya maamuzi juu ya hatina ya Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji, Jose Luis…
Imefahamika kuwa, Kiungo kutoka nchini Tanzania Baraka Gamba Majogoro amezivutia klabu nguli nchini Afrika Kusini Kaizer Chiefs na Orlando Pirates. Baada ya…
Benchi jipya la ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha limedhamiria kufanya mambo makubwa mawili ili kuendeleza heshima iliyoijenga timu…
Uongozi wa Simba SC umesema umetenga fungu la kutosha kwa ajili ya kufanya usajili wa nguvu kwenye dirisha dogo ambalo linmefunguliwa wiki…
Bingwa mtetezi Yanga bado anaendelea na safari yake akitaka kutetea taji lake la tatu mfululizo la Ligi Kuu Bara baada ya kushinda…
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola amesema “amefunga ukurasa” katika klabu hiyo ya Ligi ya Premia baada ya kushinda Kombe la Dunia…