ODDS ZA KUMALIZIA WEEKEND HIZI HAPA…HAKIKISHA MKEKA WAKO WA MERIDIANBET UNATEMA LEO…
Wikiendi unaweza kuiondoa kwenye unyonge kama utaweka jamvi lako na kampuni ya Meridianbet Jumapili hii kwenye michezo ambayo itakwenda kupigwa Jumapili ya…
Browse all posts in this category.
Wikiendi unaweza kuiondoa kwenye unyonge kama utaweka jamvi lako na kampuni ya Meridianbet Jumapili hii kwenye michezo ambayo itakwenda kupigwa Jumapili ya…
HAKUNA ubishi. Baada ya makelele ya siku kadhaa, umewadia ule muda wa Tanzania kugawanyika kwenye rangi mbili kubwa kwa dakika kadhaa. Ni…
KUTOKANA na hali ya hewa ya mvua, hakuna shamrashamra zilizozoeleka kwenye mechi za dabi za Simba na Yanga, ingawa haijazuia baadhi ya…
WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa…
Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa patachimbika, hii ni siku ambayo itakuwa mwisho wa ubishi, nyodo na tambo wakati miamba miwili ya…
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema asiyekuwa na tiketi hataruhusiwa kusogelea uwanja au maeneo ya milango ya kuingia…
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ametangaza ahadi ya kununua magoli yatakayopatikana kwenye Derby ya Kariakoo kati ya…
Mzamiru Yassin mwamba kabisa hana bahati na mechi kubwa, anaweza kupiga kazi kubwa dakika zote ila kosa lake moja likatumiwa na wapinzani…
Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru…
Kaimu Mkurugenzi wa michezo nchini ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa Yanga Ally Mayay Tembele amesema wanapokutana watani wa jadi nchini…
Aliyekuwa kocha wa Coastal Union, Mwinyi Zahera anasema timu zote zinacheza soka la tofauti kulingana na mbinu za makocha wanavyotaka zicheze. Zahera…
Beki wa zamani wa Yanga, Ladslaus Mbogo ameangalia kasi na ubora wa Maxi Nzengeli, Azizi KI na Pacome Zouzoua waliokuwa nao kwa…