YANGA WAFUNGUKA UWEPO WA GAEL BIGIRIMANA KAMBINI
Uongozi wa Yanga umeelezea sababu ya aliyekuwa nyota wao Gael Bigirimana kuonekana kambini Avic Town ni kusalimiana na wenzake. Akizungumzia ishu hiyo…
Browse all posts in this category.
Uongozi wa Yanga umeelezea sababu ya aliyekuwa nyota wao Gael Bigirimana kuonekana kambini Avic Town ni kusalimiana na wenzake. Akizungumzia ishu hiyo…
“BANGALA karibu Mbagala,” ndivyo lilivyosomeka chapisho la Azam FC kwenye ukurasa wake wa Instagram lilitangaza ujio wa kiraka Yannick Bangala kutoka Yanga…
Abdallah Athumani Seif ‘King Abdallah Kibadeni Mputa’ nyota wa zamani wa Simba ndiye mchezaji pekee aliyefunga ‘hat trick’ katika Kariakoo Derby, akifanya…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wala hauna presha licha kuondoka Mshambu ya wao tegemeo, Fiston Kalala Mayele, kwani…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia na klabu ya Simba SC, Clatous Chama aibuka na kutamka kuwa ujio wa kiungo Willy Onana utaifanya…
SIMBA imefanya maamuzi magumu ya kumpiga chini kipa Mbrazili Jefferson Luis aliyesajiliwa hivi karibuni kwa madai ya kuwa majeruhi. Japo klabu haijatoa…
ROBERTO Oliveira ‘Robertinho’, Kocha Mkuu wa Simba, amesema mastaa wake wote walio kambini Uturuki, wamezidi kuimarika kutokana na maandalizi wanayoendelea kuyafanya. Mbrazili…
SIMBA tayari imezindua Wiki ya Simba Day jijini Dar es Salaam, huku baadhi ya viongozi, wanachama pamoja na wapenzi na mashabiki wa…
Mshambuliaji Fiston ametangazwa kama mchezaji mpya wa klabu ya Pyramid FC inayoshiriki Ligi Kuu Misri kutoka klabu ya Yanga ya Tanzania. Mayele…
KOCHA mpya wa Yanga, Miguel Angel Gamondi, kwa sasa yupo AVIC Town, Kigamboni, Dar, akikisuka kikosi cha timu hiyo, huku taarifa zikibainisha…
WAKATI Simba wakiwa nchini Uturuki kwenye maandalizi ya msimu ujao wa 2023/24, taarifa njema ni kuhusiana na kiungo wao mpya, Fabrice Ngoma…
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya timu ya Batman Petrolspor katika mchezo wa kirafiki kwenye kambi yake…