ZA NDAANI KABISA….SIMBA NA AZAM ZATEGEA TAMKO LA YANGA KUHUSU NABI…AKIFUKUZWA TU WANAYE…
Wakati taarifa zikidai mabosi wa Yanga wanafikiria kufumua benchi lao la ufundi chini ya kocha Nasreddine Nabi, Za Ndaani Kabisa zinasema wenzao…
Browse all posts in this category.
Wakati taarifa zikidai mabosi wa Yanga wanafikiria kufumua benchi lao la ufundi chini ya kocha Nasreddine Nabi, Za Ndaani Kabisa zinasema wenzao…
Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Mgunda, amesema wachezaji walipambana wakati wote wa mchezo dhidi ya watani wao Yanga lakini hatukufanikiwa kupata…
BAO la Aziz KI limeisaidia timu yake kuambulia pointi moja baada ya sare ya bao 1-1 huku ikitimia siku 1,345 bila Simba…
WAKIWA wenyeji wa Mchezo Mabingwa watetezi Yanga wameshindwa kutamba mbele ya Simba baada ya kutoshana nguvu ya kufungana bao 1-1 mchezo wa…
Mshambuliaji wa Ihefu, Obrey Chirwa amesema ushindi wa mabao 2-1 walioupata dhidi ya Dodoma Jiji umeongeza morali na kwamba kazi ndio imeanza,…
Nyota wa Azam FC, Abdul Suleiman ‘Sopu’ atafanyiwa vipimo zaidi ili kujua undani wa jeraha la misuli ya paja ‘hamstring’ linalomsumbua. Sopu…
Shabiki wa AS Vita aliyefahamika kwa jina la Eulethere Bidikamona (57) alipoteza maisha juzi baada kosakosa ya goli katika nafasi ya mwisho…
Dakika 90 za Dabi ya Kariakoo zinakamilika kwa sare ya goli 1-1 kati ya vigogo Yanga dhidi ya wekundu wa Msimbazi Simba…
Mdaka mishale wa Yanga, Djigui Diarra, kwenye anga la kimataifa amekimbizwa na Aishi Manula maarufu Air Manula wa Simba. Katika mechi nne…
Huko Yanga unaambiwa mabeki wa timu hiyo hawataki masihara kwani wameweka wazi kuwa hawatakubali kufanya makosa na kuwaruhusu washambuliaji wa Simba wakiongozwa…
Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amewaita mashabiki wa soka kwa Mkapa leo jumapili kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa ligi kuu…
Tanzania imelazimishwa sare ya goli 1-1 na Nigeria jana jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi ya kwanza Raundi ya Pili…