Simba SC

Browse all posts in this category.

Post thumbnail placeholder
Simba SC

KIUNGO SIMBA ANUSURIKA KUACHWA, GOMES AMBAKISHA

 MUDA na wakati wowote Simba itamuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake mshambuliaji Miraji Athumani ‘Sheva’ wa kuendelea kukipiga Msimbazi.   Awali kiungo huyo alikuwa kwenye orodha ya wachezaji watakaochwa katika kuelekea usajili…

Jun 18, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

BAADA YA KUMKOSA MANYAMA, SIMBA YAMGEUKIA BEKI HUYU

 BAADA ya kugonga mwamba kwenye usajili wa beki wa Ruvu Shooting, Charles Manyama ambaye ametua Azam FC, Kocha wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa, ameusisitiza uongozi wa timu hiyo kuhakikisha unamsajili beki…

Jun 18, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

JOHN BOCCO APEWA TUZO YA MFUNGAJI BORA BONGO

 KASI ya kufunga mabao aliyonayo mshambuliaji na nahodha wa kikosi cha Simba, John Bocco imemuibua kocha wake Mtunisia, Adel Zrane ambaye amesema ana imani kubwa mshambuliaji huyo ndiye atakayeibuka na tuzo ya ufungaji bora msimu…

Jun 18, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

KOCHA SIMBA AFUNGUKIA HATMA YA MEDDIE KAGERE

 LICHA ya mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere kupitia kipindi kigumu cha kukosa nafasi ya kuanza mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza, kocha wa viungo wa timu hiyo,…

Jun 18, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

KUMBE UJANJA WA MEDDIE KAGERE UPO HAPA

MSHAMBULIAJI namba mbili ndani ya Simba, Meddie Kagere rekodi zinaonyesha kwamba ujanja wake ni kwenye viwanja viwili msimu huu wa 2020/21. Ujanja…

Jun 17, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

BOCCO GARI LIMEWAKA SIMBA SC…

NAHODHA wa Simba John Bocco mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2011/12 akiwa anaichezea Azam FC na kumaliza msimu akifunga…

Jun 17, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

CHIKWENDE PERFECT MAMBO MAGUMU SIMBA

 NYOTA wa kikosi cha Simba, Perfect Chikwende inaelezwa kuwa huenda akaondolewa ndani ya kikosi hcho kutokana na kushindwa kuonyesha makeke ambayo walitarajia.…

Jun 17, 2021