KIUNGO KUTOKA NIGERIA AKUBALI KUTUA SIMBA
UNAKUMBUKA ule mchezo kati ya Simba na Plateau wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar? Basi kuna viungo wawili wa Plateau United kutoka Nigeria walikichafua kweli pale…
Browse all posts in this category.
UNAKUMBUKA ule mchezo kati ya Simba na Plateau wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar? Basi kuna viungo wawili wa Plateau United kutoka Nigeria walikichafua kweli pale…
CLATOUS Chama, mtambo wa mabao ndani ya Simba amerejea ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuwa nje kwa muda kutokana na…
MASTAA wa zamani wa Simba, wametoa sifa za straika mpya wanayetaka kumuona msimu ujao kwenye kikosi hicho. Wamesisitiza kwamba kama viongozi…
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone rekodi zinaonyesha kuwa mguu wake wa kushoto umefunga mabao mengi ambayo ni 6 huku ule wa kulia…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wanastahili pongezi kwa ajili ya kupambana katika kutimiza majukumu bila kuwasahau mashabiki. Jana,…
SIMBA kwa misimu mitatu tofauti imekuwa ikisajili beki wa kushoto wa kumpa ushindani beki wao wa sasa aliyejimilikisha namba kikosi cha kwanza,…
KIKOSI cha Simba jana Juni 19 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja…
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo, Juni 19 dhidi ya Polisi Tanzania mchezo wa ligi, Uwanja wa CCM Kirumba.
Kocha Mkuu Didier Gomes leo amewapanga washambuliaji wawili Nahodha John Bocco na Chris Mugalu kuanza katika mchezo dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa…
CLATOUS Chama kinara wa utengenezaji wa pasi za mwisho ndani ya Simba akiwa nazo 13 na mabao 7 anatarajiwa kuukosa mchezo wa…
MAMA mzazi wa kiungo wa Simba, Jonas Mkude, Grace Shimba amezungumzia msala alionao mwanae hasa ishu ya kutakiwa kwenda kupimwa. Mkude yupo…
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Simba tayari wako Mwanza kuikabili Polisi Tanzania, huku Kocha Mkuu wake, Didier Gomes akiweka bayana kwamba wanahitaji…