SUALA LA JONAS MKUDE LIWE DARASA KWA WENGINE
TATIZO la nidhamu kwa wachezaji wenye uwezo mkubwa ndani ya uwanja limekuwa ni jambo la kawaida kwa sasa jambo ambalo linapaswa lifanyiwe…
Browse all posts in this category.
TATIZO la nidhamu kwa wachezaji wenye uwezo mkubwa ndani ya uwanja limekuwa ni jambo la kawaida kwa sasa jambo ambalo linapaswa lifanyiwe…
KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amefunguka kwamba benchi la ufundi wanakoshwa na aina ya pacha ya washambuliaji wao, John Bocco na Chris Mugalu. Kocha huyo ameongeza kwamba wanafurahishwa na…
IMEELEZWA kuwa ikiwa usajili wa nyota wa kikosi cha Ruvu Shooting Edward Manyama ukikamilika basi itakuwa ni vita mpya ya namba ndani…
SIMBA wameambiwa kwamba hawana hela ya kumlipa nyota wa kikosi cha Al Ahly, Walter Bwalya ambaye anatajwa kuibukia ndani ya kikosi hicho.…
MSHAMBULIAJI wa DC Motema Pembe ya DR Congo, Kadima Kabangu, amesema ubora walionao viungo wa Simba wakiongozwa na Clatous Chama na Luis Miquissone, utamfanya afunge mabao mengi iwapo atatua ndani…
MAMBO ni moto huko mitaa ya Msimbazi. Wakati Simba imeendelea kuwaongezea mikataba nyota wake akiwamo kipa, Beno Kakolanya aliyesaini mkataba wa miaka…
SIMBA haina masikhara kabisa na maandalizi ya msimu ujao. Baada ya kufika hatua ya Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika huku…
SULEIMAN Kova, Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya Simba amesema kuwa wanaosema kwamba kamati inamkomoa kiungo mkabaji Jonas Mkude hiyo sio sawa…
LIGI Kuu Bara imesaliwa raundi nne tu kabla haijamalizika msimu huu, huku ukuta wa Simba ukionekana ndio imara zaidi kwa kuruhusu idadi…
KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa wana kazi kubwa ya kufanya ili kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa kazi bado…
IMEELEZWA kuwa kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya ameongeza dili la miaka miwili kuendelea kuwatumikia mabosi wake hao. Licha ya kwamba…
KATIKA orodha ya timu 50 bora Afrika Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ni namba 13.