KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA MBELE YA KAIZER CHIEFS LEO
HUENDA jeshi la Didier Gomes mbele ya Kaizer Chiefs likawa namna hii:- Aishi Manula Shomari Kapombe Pascal Wawa Joash Onyango Mohamed Hussein …
Browse all posts in this category.
HUENDA jeshi la Didier Gomes mbele ya Kaizer Chiefs likawa namna hii:- Aishi Manula Shomari Kapombe Pascal Wawa Joash Onyango Mohamed Hussein …
WAKATI leo Mei 15 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kikitarajiwa kusaka ushindi mbele ya Kaizer Chiefs majira ya…
SIMBA inatarajiwa kushuka uwanjani leo Jumamosi katika mchezo ambao inawezekana ukawa ni mwendelezo wa timu hiyo kuandika historia ya kipekee kama watafanikiwa kusonga mbele na kutinga hatua ya nusu fainali…
Zikiwa zimebaki saa chache kuelekea mchezo wetu wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa uwanja wa…
LICHA ya kwamba mabosi wa Simba wanalalamika kutocheza na Yanga kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, Mei 8 lakini uchunguzi wa Championi Jumatano, unaonyesha wazi wao ndiyo wamefaidika kwa kiwango kikubwa kuliko…
NYOTA wa Simba Queens inayonolewa na Mussa Mgosi amesema kuwa maelekezo ambayo wanayapata kutoka kwa kocha mkuu pamoja na sapoti ni moja…
KOCHA wa Simba, Didier Gomes ameweka wazi kwamba aliamua kuiwahisha timu Afrika Kusini ili kukabiliana na hali ya baridi kali iliyopo…
KOCHA wa zamani wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amefunguka kuwa ubora wa timu hiyo kwa sasa umekuwa mkubwa kutokana na kusajili wachezaji…
WAKATI Kaizer Chiefs Jumatano ilipokubali kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 katika mechi ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini dhidi ya Moroka Swallows, Simba walikuwa macho kuufuatilia…
LICHA ya kwamba kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara mtupiaji namba moja ni Prince Dube wa Azam FC, Kocha Mkuu wa…
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya mabingwa Afrika Simba SC, wapo kamili Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa mzunguko wa…
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kikosi bora jambo ambalo linawafanya wawe na imani ya kupata matokeo mbele ya Kaizer…