VIDEO: NGUZO TANO ZA MABADILIKO YANGA HADHARANI, CHIKWENDE AWEKEWA MABEGI MLANGONI
NGUZO tano za mabadiliko Yanga hadharani, nyota wa Simba Perfect Chikwende awekewa mabegi mlangoni.
Browse all posts in this category.
NGUZO tano za mabadiliko Yanga hadharani, nyota wa Simba Perfect Chikwende awekewa mabegi mlangoni.
SAKATA la kipa namba moja wa Yanga, Metacha Mnata aabiwa na Ally Kamwe afanye maamuzi haraka
METACHA Mnata, kipa namba moja wa Yanga jana Juni 17 aliweza kuwatukana mashabiki wa Yanga jambo ambalo limefanya uongozi umsimamishe kwa muda…
SIMBA yatajwa ishu ya Metacha Mnata kutukana mashabiki, ubingwa bado kizungumkuti.
SHABIKI wa Yanga maarufu kama Utopolo pamoja na mashiki wengine wamesema kuwa kwa sasa ubingwa wa Ligi Kuu Bara wameshaukosa ila ikiwa…
NAMNA kiungo wa Yanga, Mukoko Tonombe alivyoondolewa uwanjani jana, Juni 17 baada ya kuumia.
OFISA uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa mabao waliyofungwa yametokana na makosa kwenye sehemu ya kipa hivyo wanaamini kwamba…
SIMBA Ulaya, shabiki wa Simba amewachana wazee wa Yanga pia amefungukia ishu ya kiungo Jonas Mkude ambaye amesimamishwa kwa muda usiojulikana na…
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi ipo kwenye hesabu za kukamilisha dili la kumpata Farjen Sassi anayekipiga ndani ya kikosi cha…
SENZO Mbata, Mshauri wa Klabu ya Yanga kuelekea katika mabadiliko amesema kuwa ushindi ambao waliupata mbele ya Ruvu Shooting wanaufurahia ila tabia…
NAHODHA Msaidizi wa Klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho Juni 17 dhidi…
LEO Juni 16 Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kupitia Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Benjamini Kalume umeweka wazi…