LAMINE MORO AENGULIWA KIKOSI CHA YANGA
IMEELEZWA kuwa beki wa Yanga Lamine Moro ameondolewa kikosini kutokana na utovu wa nidhamu. Kwa sasa kikosi cha Yanga kipo Lindi kwa…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
IMEELEZWA kuwa beki wa Yanga Lamine Moro ameondolewa kikosini kutokana na utovu wa nidhamu. Kwa sasa kikosi cha Yanga kipo Lindi kwa…
WAKATI leo Mei 15 kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Nassredine Nabi kikitarajiwa kumenyana na Namungo FC, atawakosa nyota nane kutokana…
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa sababu kubwa ya nyota wao wawili, Carlos Carlinhos na Yassin Mustapha kuendelea kukosekana kwenye kikosi hicho ni kutokana na nyota hao kupata majeraha ya…
KATIKA kuhakikisha Yanga wanapata ushindi katika mchezo wa leo Jumamosi dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewataka wachezaji wa timu hiyo kuhakikisha wanapata ushindi katika mchezo huo kwa…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wanatambua kwamba wapinzani wao Namungo ni timu imara ila watapambana kupata ushindi. Kesho Yanga inayonolewa na Kocha…
KESHO Uwanja wa Majaliwa, Namungo FC ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni…
WAKATI baadhi ya mastaa wa kikosi cha Yanga wakitarajiwa kumaliza mikataba yao mwishoni mwa msimu huu, uongozi wa Yanga umesema kwamba, hatma ya wale ambao wataongezewa mikataba, ipo chini ya kocha wao, Nasreddine Nabi.…
KIUNGO wa Klabu ya Yanga ambaye ni mkongwe ndani ya Ligi Kuu Bara kwa sasa anapata tabu kupata namba kikosi cha kwanza…
DK: TIBOROHA amesema kuwa tukio la mechi ya Simba v Yanga kuahirishwa Mei 8 kulimuhuzunisha pia kwa kuwa aliacha kazi mapema ili…
MTAMBO wa mabao wa kikosi cha Yanga, raia wa Angola, Carlos Carlinhos ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi leo Mei 12 kimewasili salama Mtwara kwa ajili ya mchezo wa Ligi…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC hautakuwa mwepesi ila wapo tayari kwa ajili…