Yanga SC
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
YANGA: TUNA ASILIMIA KUBWA YA KUSHINDA MBELE YA SIMBA
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Michael Sarpong, amesema kikosi chao kimejiandaa vizuri kuibuka na ushindi katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba Jumamosi…
YANGA: HATUNA HOFU DHIDI YA SIMBA
MABEKI wa kati wa kikosi cha Yanga wameweka wazi kwamba hawana hofu kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya…
YANGA YATAMBA HAINA HOFU KWENYE KOMBE LA FA, WANAHITAJI UBINGWA
BAADA ya kuifungashia virago Tanzania Prisons na kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam maarufu Kombe la FA, uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuwa…
NYOTA YANGA ATAJA SABABU ZITAKAZOIFANYA SIMBA IFUNGWE
NYOTA wa zamani wa kikosi cha Yanga, Bakari Malima amesema kuwa ikiwa Simba watawadharau wapinzani wao Mei 8 watafungwa na kupoteza pointi…
HESABU ZA YANGA KUIZUA SIMBA ZINAPANGWA NAMNA HII
BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga, Abdalah Shaibu,’Ninja’ amesema kuwa anawatambua vizuri wapinzani wake Simba hivyo hana mashaka kuelekea kwenye mchezo…
ALIYEIFUNDISHA YANGA ASEMA IKIFUNGWA NA SIMBA INAPOTEZA UBINGWA
LUC Eymael, raia wa Ubelgiji, kocha wa zamani wa kikosi cha Yanga, amesema kuwa ikiwa timu hiyo itafungwa na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa,…
MABOSI WA YANGA HAWAJAMWAMBIA CHOCHOTE MENEJA WA SARPONG
MENEJA wa mshambuliaji wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, Alex Kamanzi raia wa Rwanda ameibuka na kusema kuwa hana presha yoyote juu ya mwenendo wa mchezaji wake katika timu…
SIMBA Vs YANGA: YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA SIMBA
ZIKIWA zimebaki siku tano kabla ya watani wa jadi Simba na Yanga kumenyana Uwanja wa Mkapa, nyota wa kikosi cha Yanga Said…
ORODHA YA NYOTA SITA YANGA AMBAO MIKATABA YAO INAELEZWA KUFIKA UKINGONI
IMEELEZWA kuwa miongoni mwa nyota wa kikosi cha Yanga kwa sasa wanacheza wakiwa wanatambua kwamba mikataba yao inakaribika kufika ukingo msimu utakapomeguka…
YANGA WATUA SALAMA DAR
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Nassreddine Nabi kimewasili salama leo Mei Mosi Dar es Salaam, kikitokea Mbeya. Jana Aprili, 30…
KIKOSI CHA YANGA KURUDI DAR LEO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi leo kimeanza safari ya kurudi Dar kikitokea Mbeya. Yanga jana Aprili ilikuwa na…