Home Blog Page 2485
WOJCIECH Szczesny mlinda mlango wa Juventus amewekwa sokoni ili kutunisha mfuko wa mabosi wa Juventus. Mkataba wa nyota huyo ndani ya Juventus unameguka mwaka 2024 na inaelezwa kuwa hawana dalili za kumuongezea dili jingine.Miongoni mwa timu ambazo zinaelezwa kuwa zinaweza...
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wachezaji wamepewa kazi kubwa ya kuwa mabalozi kwenye familia zao na kujilinda na Virusi vya Corona.Kwa sasa wachezaji wa Mtibwa Sugar wamevunja kambi na kila mchezaji anafanyia mazoezi yake nyumbani...
MOHAMED Rashid,'Mo Rashid' nyota anayekipiga ndani ya JKT Tanzania kwa mkopo akitokea Klabu ya Simba amesema kuwa kwa sasa anapiga dozi ya mazoezi mara mbili kwa siku ili kulinda kipaji chake.Akizungumza na Saleh Jembe, Rashid amesema kuwa amekuwa akifanya...
HARUNA Niyozima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ni busara kwa wachezaji kufanya mazoezi wakati huu wa mapumziko na kujilinda dhidi ya Virusi vya Corona.Niyonzima amekuwa kwenye ubora wake msimu huu baada ya kurejea ndani ya Yanga licha ya...
BEKI chipukizi wa Coastal Union, Bakari Nondo amesema kuwa amekuwa akivutiwa na uwezo wa wazawa wanaokipiga ndani ya Simba na Yanga kutokana na uwezo wao.Ukuta wa Coastal Union umekuwa imara msimu huu ambapo kwenye mechi 28 ilizocheza na pointi...
WAZIRI Jr mshambuliaji anayekipiga ndani ya Mbao FC amesema kuwa kwa sasa anajifua ili kulinda kipaji chake pamoja na kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona.Jr ana tuzo ya mchezaji bora Ligi Kuu Bara mwezi Februari timu yake ipo nafasi...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umemtumia salamu za kumtakia maisha marefu nahodha wao Papy Tshishimbi ambaye leo anatimiza miaka kadhaa.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa kabla ya kufanya shughuli zake leo alianza kumtumia...
JAMES Kotei, kiraka wa zamani wa Simba amesema kuwa iwapo mabosi wake wa zamani watahitaji saini yake hana tatizo nao kwani hawakuzinguana.Nyota huyo kabla ya kusepa ndani ya Simba aliibuka kuwa kiungo bora wa timu kwa msimu wa 2018/19...
ABDULHAMAN Humud, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa iwapo Yanga itahitaji saini yake hana tatizo nao lazima atasaini iwapo watafikia makubaliano.Humud amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ndani ya Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 14...
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa wazawa wana uwezo mkubwa wa kucheza nje ya nchi ila wanashindwa kujiamini na kujituma ndani ya uwanja.Kwa sasa Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, Kagere ametupia mabao...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS