WILLIAM Lucian, ‘Gallas’ beki wa kuliwa wa Polisi Tanzania amesema kuwa uongozi wa Polisi Tanzania upo makini kwenye kufuatilia maendeleo ya wachezaji pamoja na kujali maslahi ya wachezaji.Polisi Tanzania ipo nafasi ya sita ikiwa imecheza mechi 29 kibindoni ina...
DEJAN Lovren mwenye miaka 30 beki anayekipiga ndani ya Liverpool huenda akasepa msimu ujao.Beki huyo amekuwa hana nafasi kwenye kikosi cha kwanza kilicho chini ya Jurgen Klopp.Inatajwa kuwa Arsenal, Spurs na West Ham zipo kwenye hesabu ya kuwania saini...
JAMES Maddisson kiungo anayekipiga ndani ya Leicester City saini yake imekuwa Lulu ghafla kwenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu England.Nyota huyo mwenye miaka 23 anakipiga pia kwenye Timu ya Taifa ya England.Inaelezwa kuwa Manchester United imebadili gia angani ambapo awali...
IMEZIDI kuwa tamu sasa promosheni namba moja Bongo ya Chomoka na Gari inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publisher wazalishaji wa magazeti ikiwa ni pamoja na Championi na SpotiXtra ambapo washindi watatu leo wanakabidhiwa zawadi zao.Ofisa Masoko wa Global Publisher,...
FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amesema kuwa uwepo wa Haruna Niyonzima na Papy Tshishimbi umekuwa ukimfanya kuwa Bora.Kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona Fei alikuwa kwenye ubora wake na kwenye mechi dhidi...
WILLIAN nyota anayekipiga ndani ya Chelsea amewekwa kwenye rada za Juventus na Tottenham ambazo zimetajwa kumuwinda kiungo huyo.Willian alikuwa akihusishwa kutimka ndani ya Klabu ya Chelsea katika usajili uliopita lakini sasa Juventus wanaonekana kushikilia bango la kutaka kumsajili.Imeelezwa kuwa...
HUSSEIN Machozi Mwana BongoFleva anayeishi Italia amesema kuwa maambukizi ya Virusi vya Corona yamewafanya wajifungie ndani muda mwingi.Machozi kwa sasa kazi zake za muziki anazifanyia nchini Italia ambapo kumekuwa na ripoti kwamba hali ya maambukizi ni kubwa. "Kiukweli hakuna anayethubutu...
Muonekano wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra Alhamisi lipo mtaani
BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa, amesema kuwa Virusi vya Corona siyo vya kuchukulia utani, ni lazima kila mmoja achukue tahadhari.Wawa amesema kuwa kwa sasa anafanyia mazoezi ndani kutokana na kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona.“Nipo nyumbani na hali...