Home Blog Page 2492
HARRY Edward Kane nyota wa Spurs anasumbuliwa na msuli wa nyama za paja jambo lililomuweka nje ya Uwanja kwa muda mrefu .Amezaliwa Julai 28,1993, England anavaa jezi namba 10 inaelezwa kuwa anahitaji kusepa ndani ya kikosi hicho huku ikitajwa...
SALUM Abubakar ‘Sure Boy’ amepewa ruhusa ya kujiunga na Yanga ama klabu yoyote inayomuhitaji kama wataenda mezani na kuafikiana kuhusu dau.Sure Boy amecheza kwa mafanikio makubwa katika kikosi cha Azam FC kwa kipindi cha zaidi ya miaka 10 sasa huku kukiwa...
IMERIPOTIWA kuwa timu ya Liverpool ipo kwenye mpango wa kumrejesha nyota wao wa zamani Raheem Sterling anayekipiga ndani ya Manchester City pamoja na timu ya Taifa ya England.Nyota huyo alitimka ndani ya Liverpool mwaka 2015 Kwa dau la pauni...
HARUNA Niyonzima alipokuwa akikipiga Simba msimu wa 2018/19 alifeli kucheza mechi nyingi kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu na alikaa nje ya Uwanja nusu msimu.Anasema kuwa mechi zake kali na za kumvutia ni dhidi ya AS Vita ambapo...
HARUNA Niyonzima, raia wa Rwanda anayekipiga ndani ya Yanga kwa sasa amesema kuwa kilichomfelisha kucheza mechi nyingi alipokuwa ndani ya Simba ni majeraha.Alipokuwa akikipiga Simba msimu wa 2018/19 akiwa chini Kocha Mkuu, Patrick Aussem alikaa nje ya Uwanja nusu...
NEYMAR da Silva Santos Júnior nyota wa PSG inayoshiriki Ligue 1 yupo kwenye hesabu za kurudishwa ndani ya Barcelona.Akiwa ndani ya PSG ametupia mabao 13 na timu yake inaongoza ligi ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 68.Imecheza mechi 27 na kufunga...
WAKATI La Liga ikiwa imesimama kutokana na kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corna kuna wachezaji ambao wametupia mabao 11 ndani ya klabu zao.Mwendo wa 11 tu huko La Liga upo namna hii:- Luis Suarez wa Barcelona ametupia mabao...
KIUNGO Mkabaji wa timu ya Yanga, Feisal Salum, 'Fei Toto' amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi ili kuwa bora na anachukua tahadhari ya kujilinda na Virusi vya Corona.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya...
ROBERT Lewandowski nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Bayern inayoshiriki Bundeslinga anakimbikza kwa kucheka na nyavu.Amefunga mabao 25 amecheza mechi 23 na ametoa pasi tatu za mabao huku timu yake ikiwa nafasi kwanza na imefunga mabao 73.Nyota huyo mwenye...
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la BETIKA, lipo mtaani nakaa yake ni bure kabisa
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS