Home Blog Page 2495
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC  amesema kuwa kwa sasa anaendelea na mazoezi binafsi akiwa nyumbani ili kurejea kwenye kasi yake ya zamani.Mbaraka alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na majeraha, amerejea kikosini hakupata nafasi ya kucheza...
UONGOZI wa Simba umempa pongezi Francis Kahata kwa kujitolea kwa jamii yake nchini Kenya.Kahata ambaye kwa sasa yupo nchini Kenya alitoa msaada wa lita 10,000 za maji safi katika eneo la Mathare, jijini Nairobi ikiwa ni kwa ajili ya...
LUIS Gustavo Dias ni kiungo raia wa Brazil anayekipiga ndani ya klabu ya Fenarbahce kwa sasa.Kwenye maisha yake ya soka ni timu ya Vfl Wolfsburg alicheza mechi nyingi ambazo ni 109.Ilikuwa ni 2013-2017 na alifunga mabao saba, pia alikipiga...
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kazi kubwa kwa sasa ni kujiweka fiti ilikuwa imara.Morrison amekuwa kwenye ubora wake licha ya kucheza kwa muda mfupi baada ya kujiunga na Yanga akitokea nchini Ghana tayari amefunga mabao matatu...
JACK Grealish, nahodha wa Aston Villa ameomba radhi baada ya kuvunja agizo la Serikali la kujifungia ndani wakati huu wa mlipuko wa virusi vya Corona.Grealish, anacheza na nyota wa Tanzania Mbwana Samatta, amesema rafiki yake ndiye amemshawishi kufanya kosa...
TAARIFA iliyotolewa leo Machi 31 na Uongozi wa Simba kupitia Ukurasa wa Instagram imeeleza hivi:-
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa anapenda kazi yake ya mpira jambo linalomfanya afurahie kufunga kila wakati akiwa ndani ya uwanja.Ligi Kuu Bara kwa sasa imesimama ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona wakati ligi ikisimama, Kagere alikuwa...
LIONEL Messi nahodha wa Barcelona, amesema kuwa jambo la wachezaji kukatwa mshahara limechelewa kufanyika kwa sababu wachezaji walikuwa wanapambana kuisadia klabu pamoja na kuwasiaidia wale walioathirika.Hatua hiyo ya kukatwa mshahara huo ni kwa ajili ya kuwachangia wafanyakazi wa Barcelona...
  AISHI Manula mlinda mlango namba moja wa Simba amesema kuwa Bernard Morrison wa Yanga anastahili pongezi kwa kumtungua bao kwenye mchezo wa watani wa jadi uliochezwa Machi 8, Uwanja wa Taifa.Morrison alifunga bao la ushindi dakika ya 44 kwa...
MSHAMBULIAJI wa KMC, Salim Aiyee amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya Meddie Kagere wa Simba kufunga mabao mengi ni muunganiko anaoupata ndani ya Simba pamoja na kutokuwa na majeruhi.Aiyee alijiunga na KMC akitokea Mwadui FC ambapo alikuwa mshambuliaji tegemeo alitimiza...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS