Home Blog Page 2762
JOSEP Bartomeu Rais wa Barcelona amesema kuwa klabu yake haina mpango wa kujaribu kupata saini ya kumpata mchezaji Neymar JR kwani Paris Saint Germain hawana mpango wa kumuuza."Najua kwamba Neymar anahitaji kurejea ndani ya kikosi cha Barcelona akitokea PSG...
BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni hapo, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa mbioni kung’atuka, Crescentius Magori amefunguka kila kitu.Taarifa za Mo kutaka kuondoka Simba zilianza kusambaa mitandaoni kuanzia Alhamisi lakini...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa wa kuweka kambi upo mikononi mwa wachezaji wa kigeni na ndani hivyo wakifika wote wataanza kambi.Akizungumza na Saleh Jembe, mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kuwa mpango mkubwa ni kwa...
KOCHA wa zamani wa kikosi cha Simba na Dodoma FC, Jamhuri Khiwelu 'Julio' amesema kuwa nyota mpya wa Simba, Ibrahim Ajbu ana uwezo na kipaji kikubwa kuliko nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta anayekipiga KRC,Genk.Julio amesema kuwa kinachombeba...
MOHAMED Rashid mshambuliaji wa Simba inawezekana msimu ujao akakipiga kwenye klabu mpya ya Namungo.Rashid amekuwa hana nafasi kubwa ndani ya KMC baada a mabosi hao kuonyesha dalili za kutaka kuachana naye msimu ujao baada ya kupata washambuliaji wapya.KMC ambayo...
MENEJA mpya wa Chelsea, Frank Lampard amesema kuwa anatambua presha kubwa ya bosi wa kikosi hicho, Roman Abramovich hasa timu inaposhindwa kupata matokeo chanya.Lampard ameajiriwa na Chelsea kwa kandarasi ya miaka mitatu akibeba mikoba ya Maurizo Sarri ambaye ametimkia...
UONGOZI wa KMC umesema kuwa utaitumia michuano ya kombe la Kagame kwa ajili ya kujiaandaa na michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa kwa sasa kikosi kimeweka...
MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Dk Mshindo Msolla amezungumzia mjadala wa usajili wa beki wa pembeni, Gadiel Michael na kutoa ruhusa ya mchezaji huyo kwenda popote atakapohitaji ikiwemo Simba inayotajwa kuwa mbioni kumsajili lakini beki huyo ni kama amepindua...
MOROGORO: Inasikitisha! Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Setembo, Rajabu Athumani (60), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga, kisa kikidaiwa ni mauaji ya mkwewe, Amani lina habari ya kusikitisha. Tukio hilo lililoacha simanzi kubwa lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa mlinzi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS