Home Blog Page 2767
IMEFAHAMIKA kuwa beki wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ambaye kwa sasa anakwenda LA Galaxy ya Marekani kwa mkopo, atakuwa akilipwa mshahara wa euro 18,000 (Sh milioni 46.7) kwa wiki, ambazo ni sawa na shilingi za Kitanzania bilioni...
RASMI kiungo mchezeshaji wa Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars na Klabu ya Gor Mahia, Francis Kahata ni mali ya Simba baada ya kufikia makubaliano ya kusaini mkataba kwa dau la shilingi milioni 80 akiwa nchini Misri.Kahata aliyepo...
Uongozi wa Yanga umekubali yaishe na kumuachia beki wao wa pembeni, Gadiel Michael kutua Simba kwenye usajili wa msimu ujao baada ya kutofikia muafaka mzuri huku ikifanikisha mipango ya kumuongezea mkataba mpya beki wake, Haji Mwinyi.Hiyo, ikiwa ni siku...
Mitandao na Magazeti ya kuaminika ya Afrika Kusini yamesema uwezekano wa Emmanuel Okwi kusaini Kaizer Chiefs ni asilimia 85, lakini Simba wamedai haendi kokote.Okwi mwenyewe ameiambia televisheni ya Afrika Kusini ya SABC kwamba anaweza kucheza Sauzi au nje ya...
Kiungo wa zamani wa Simba Mkenya, Jerry Santo ameonyesha hisia zake kwa Yanga juu ya usajili wa kipa, Farouk Shikalo.Kwa mujibu wa gazeti la Spoti Xtra, Santo alisema kuwa Yanga imepata bonge la kipa ambaye kamwe wapenzi na mashabiki...
Uongozi wa Yanga chini Mwenyekiti wake DK Mshindo Msolla unaanza kuwapokea nyota wake wapya wa kigeni leo tayari kwa maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika.Yanga chini ya kocha Mkongoman, Mwinyi Zahera amefanya...
MITANDAO maarufu duniani ya Instagram na Facebook na WhatsApp imekumbwa na tatizo la kuwa chini dunia nzima ambapo baadhi ya watumiaji wameeleza kushindwa kupakia picha, hukuwa wengine wakisema hawawezi kuperuzi picha.Wamiliki wa mitandao hiyo bado hawajatoa taarifa rasmi juu...
WALTER Bwalya mshambuliaji wa Nkana FC ya Zambia amesema kuwa yupo tayari kusaini Simba iwapo watamhtaji.Bwalya amekuwa akihusishwa kujiunga na Simba na kuna taarifa kwamba amewaaga wachezaji wenzake kwamba anakuja Bongo kujiunga na Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara."Sijafanya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS