Home Blog Page 2769
Mchezaji wa zamani wa Chelsea Frank Lampard atatangazwa kama kocha mpya wa kikosi cha Chelsea kuja akichukua mikoba ya Maurizio Sarri.Sarri ametimkia kukinoa kikosi cha Juventus na tayari ameshatambulishwa.Wengi wanampa nafasi ya kufanya vizuri kwa kigeo cha kuitambua vema timu...
Beki wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael,  amekanusha taarifa zilizozagaa kuwa amesaini mkataba na Simba na kwamba hajafanya mawasiliano yoyote na klabu hiyo.Amesema suala la  kuongeza mkataba na klabu yake ya sasa  ya Yanga litakamilika siku chache zijazo baada...
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amesikia taarifa za usajili wa mabeki wapya wa Kibrazili wa Simba na kutamka kuwa hao ndio anaowataka.Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni siku chache tangu Simba itangaze usajili wa wachezaji watatu kutoka Brazil,...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Simba na mwekezaji wa Klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameonekana akiwa na jezi ya Timu ya Arsenal ambayo imesainiwa na wachezaji huku akiishukuru timu hiyo kubwa duniani.Mo kupitia akaunti yake ya...
Kocha wa timu ya wanawake ya Yanga, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’, amesema kuwa wachezaji wote wa kigeni ambao wamesajiliwa na Simba, wataibeba timu hiyo kimataifa ila ndani ya Ligi Kuu Bara itakuwa pasua kichwa.Kwa sasa tayari Simba imemalizana na wachezaji...
MARKO Arnautovic  anahitaji kuiacha timu yake ya West Ham ili kujiunga na ligi ya China licha ya timu nyingi zinazoshiriki Ligi Kuu ya England kuhitaji saini yake. Mshambuliaji huyo mwenye miaka 30 raia wa ambaye anawakilishwa na kaka yake Daniejel...
 AGREY Moris, nahodha wa klabu ya Azam FC anatarajia kuwa nje uwanja kwa muda wa miezi miwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti nchini Misri juzi.Moris aliumia kwenye mchezo wa kirafiki wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'...
Abdalah Shaibu ‘Ninja’ amesaini kandarasi ya miaka minne akitokea timu ya Yanga kuitumikia timu ya MKF Vyskov ya Jamhuri ya Czech.Timu hiyo imemtoa kwa mkopo wa mwaka mmoja kwenda LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani maarufu kama Major...
MAMA wa aliyekuwa staa wa Bongo Movie, marehemu Steven Kanumba, Bi. Flora Mtegoa, amesema hakuwahi kuolewa na baba wa mtoto wake huyo (mzee Charles Kanumba) badala yake alikuwa mchepuko wake tu kwani tayari baba huyo alikuwa na mkewe na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS