Home Blog Page 2776
MANCHESTER United imekamilisha dili la kinda Aaron Wan-Bissaka kwa dau la Euro millioni 50.Kinda huyo wa timu ya Taifa ya England mwenye umri wa miaka 21 amesaini dili hilo na atalipwa mshahara wa Euro 80,000 kwa wiki.Amesaini kandarasi ya miaka mitano, mkataba wake...
NYOTA wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi ambaye kwa sasa anazidi kuwa mtamu kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri amewavuruga mabosi wa Simba baada ya kutoweka wazi hatma yake ya kurejea Simba.Okwi mpaka sasa kwenye michezo miwili ya...
LICHA ya timu yake kushindwa kufurukuta kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma kurudi mapema Bongo endapo atapoteza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Zimbabwe.Zahera kwa sasa yupo na kwenye benchi la...
SELEMAN Ndikumana raia wa Burundi anaungana na nyota wengine wapya ndani ya Azam FC ambao ni pamoja na Idd Seleman ‘Nado’ Emmanuel Mvuyekure ambaye naye ni raia wa Burundi kujiaanda kutetea kombe la Kagae litakalofanyika nchini Rwanda mwezi Julai.Kwa...
Na Saleh Ally, CairoHivi ndio vikosi vitatu vya Senegal, Algeria na Kenya vilivyo katika kundi moja katika michuano ya Afcon na timu yetu ya Tanzania.Unaweza kuangalia na kuona kikosi kipi kina wachezaji bora zaidi na kwa nini?Katika maoni, kuwa...
Na Saleh Ally, CairoNILIPITA karibu na vyumba vya wachezaji wa Taifa Stars na kuwaona wengi wao wakiwa wamejiinamia na baadhi yao wakibubujikwa na machozi.Hili lilinishangaza kidogo, nafikiri kwa kuwa sikuwa nimetegemea kwamba baada ya wao kupoteza mechi dhidi ya...
Msanii wa Bongo Fleva, Tundaman ambaye alikua golikipa wa Timu ya Bongo Fleva ambayo ilishuka dimbani kuminyana na Global FC nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaam, Kibaha na Bongo Fleva kuibuka na ushindi wa matuta kwa mabao...
BAADA ya mawakala wa TP Mazembe kutua nchini Tanzania wiki hii kwa ajili ya kunasa baadhi ya saini za wachezaji mbalimbali, imebainika kuwa wameamua kumuungia mchezaji Ibrahim Ajibu Migomba ambaye walikuwa wakimtaka awali bila mafanikio.Awali, TP Mazembe ya DR...
WAKATI kukiwa na taarifa za nyota wengi wa Simba akiwemo Juuko Murshid na Emmanuel Okwi kutokuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao, Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Crescentius Magori, amefungukia juu ya hatima ya nyota...
KOCHA Juma Mwambusi amerejea nyumbani pale Mbeya City na kusaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuinoa timu hiyo msimu ujao.Mwambusi ndiye aliyeipandisha daraja Mbeya City na msimu wa 2013/14 wakashiriki ligi kuu na kutoa upinzani wa hali...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS