Home Blog Page 2784
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’, amesema kuwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara wataivua ubingwa Simba.Azam FC ambayo msimu uliopita ilishika nafasi ya tatu huku ikitwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho kwa kuifunga Lipuli FC,...
Licha ya Yanga kukata tamaa juu ya kumbakiza kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu, mabosi wa timu hiyo wamempa siku saba kwa ajili ya kuamua hatma yake kabla ya kufungwa usajili wa Shirikisho la Soka la Afrika (Caf).Hivi karibuni Yanga waliweka...
Tumekutafsria hapa kwa mujibu wa video hiyo hapo juu.Tunacheza dhidi ya Kenya, ni nafasi yetu nzuri. Timu zote mbili zinatokea Afrika Mashariki, na Kenya ni jirani yetu, tupende au tusipende wote tunaongea lugha moja, Kiswahili. Hivyo hakuna...
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa auhofii usajili unaoendelea kufanywa na watani wao wa jadi, Simba ukiwemo wa straika Mbrazili, Wilker Henrique da Silva.Wiki iliyopita Simba ilimtangaza mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ambaye alisaini mkataba wa...
RAIS John Magufuli amemruhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenda nchini Misri kwa ajili ya kuipa hamasa timu ya taifa Tanzania (Taifa Stas) ili iibuke na ushindi dhidi ya Kenya baada ya kuanza vibaya kwa...
SIMBA na Yanga zote zipo kwenye mikakati mipya ya kujiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao, kila upande unaonekana kuwa na maandalizi makubwa kwa kuwa wote watashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.Wakati maandalizi hayo yakiendelea, habari za ndani ya klabu...
VIONGOZI wa Klabu ya Yanga chini ya mwenyekiti wake, Dk Mshindo Msolla, wikiendi hii waliitumia kwa ajili ya kuzungumza na wachezaji waliopo ndani ya kikosi hicho ambao mikataba yao inamalizika.Yanga hadi sasa tayari wameshatambulisha nyota 10 wapya ambao wamewasajili...
Azam FC imesisitiza kwamba, kipa anayetajwa kumalizana na Yanga, Metacha Mnata, ataitumikia Azam FC msimu ujao na wala haendi sehemu nyingine.Kauli ya Azam FC imekuja huku kukiwa na taarifa za Yanga kumalizana na kipa huyo ambaye yupo Misri na...
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Simba SC.Vieira ambaye amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wachezaji...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS