Home Blog Page 2785
Azam FC imesisitiza kwamba, kipa anayetajwa kumalizana na Yanga, Metacha Mnata, ataitumikia Azam FC msimu ujao na wala haendi sehemu nyingine.Kauli ya Azam FC imekuja huku kukiwa na taarifa za Yanga kumalizana na kipa huyo ambaye yupo Misri na...
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Simba SC.Vieira ambaye amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wachezaji...
Kuna mengi yanazungumziwa sana kwa sasa baada ya michuano ya Afcon kuanza. Tanzania tunalalamika, Kenya walalamika lakini Uganda wanafurahia.Wako katika mazingira mazuri kwenye michuano hii ndiyo maana wanafurahia. Wameanza vizuri michuano hii, wamempiga Congo magoli 2-0.Katika ushindi...
LICHA ya Yanga kukata tamaa juu ya kumbakiza kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu, mabosi wa timu hiyo wamempa siku sita kwa ajili ya kuamua hatma yake kabla ya kufungwa usajili wa Shirikisho la Soka la Afrika (Caf).Hivi karibuni Yanga waliweka...
YANGA imesajili wachezaji saba wa kigeni ambao ni mabeki, Lamine Moro (Ghana) na Mustapha Selemani (Burundi). Washambuliaji, Sadney Ukhob (Benin), Issa Bigirimana (Burundi), Patrick Sibomana (Rwanda), Juma Balinya (Uganda) na Kalengo Maybin (Zambia).
SHABIKI wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Pierre Liquid ambaye aliungana na wabunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenda Misri kuishangilia Timu ya Taifa Stars ikicheza na Senegal na kupata kipigo cha mabao 2-0.
Inaweza ikawa taarifa nzuri zaidi kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya Simba ambapo taarifa zinasema mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara bado wapo kwenye mazungumzo na Francis Kahata kwa ajili ya kujiunga nao.Kahata ambaye amemaliza mkataba na...
YANGA wametumia zaidi ya Sh900mil mpaka lengo likiwa ni moja tu kusuka kikosi chenye muonekano mpya na hadhi ya klabu hiyo. Fungu hilo ambalo limetokana na michango mbalimbali ya wadau na wanachama wa Yanga ni kwa kuanzia tu kwani...
Achana na sababu alizowahi kuzitoa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ juu ya kuahirisha ndoa yake na Tanasha Donna Oketch, lakini kumbe nyuma ya pazia, mama mzazi wa mrembo huyo, Diana Oketch anadaiwa kuwa ndiye chanzo kikuu, Gazeti la Ijumaa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS