Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kimepoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kufungwa mabao 2-0 na Senegal.Stars imepoteza mchezo wake ikiwa ni mara ya kwanza inashiriki mashindano hayo baada ya miaka 39 kupita.Mabao...
Vikosi vya Taifa Stars na Senegal vitakavyocheza katika mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika
Leo tuangazie simu mpya na bora ya Infinix NOTE 12 VIP, na mwishowe tutajua ni kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP badala ya simu za makampuni mengine kama Samsung A53 au Oppo Reno 7 kwa kuangalia sifa za ndani...
Timu YA SOKA YA Taifa Ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inataraji kucheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi katika fainali za kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Senegal ‘Simba wa Teranga’ katika dimba la Juni...
MSHAMBULIAJI nguli wa Taifa Stars, Simon Msuva amewataka Watanzania wote kutokuwa na wasiwasi na mchezo wa leo wa Afcon dhidi ya Senegal kwani wamejipanga vilivyo.Taifa Stars leo saa 2 usiku itashuka uwanjani kupambana na Senegal katika mchezo wake wa...
MSIBA wa bibi harusi, Diana Jackson aliyefariki dunia kwa ajali wakati akienda kwenye ‘Send Off’ yake Dar es Salaam, umemvuruga mchumba wake hadi kutaka kujiua. Habari kutoka chanzo chetu zinasema kuwa Elisante Edward ambaye alikuwa mume mtarajiwa wa Diana,...
Mzambia Obrey Chirwa alitikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mkataba mpya na Azam FC sasa mabosi hao juzi waliweka kwenye listi jina lake kati ya wachezaji nane ambao hawatokuwa nao msimu ujao, kuona hivyo jamaa akajiwahi na jana kasaini mkataba...
Klabu ya Yanga Princess imekamilisha usajili wa mchezaji Asha Abdul Malamwa kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili.Asha amejiunga na Yanga Princess akitokea katika kikosi cha Simba Queens.Mkataba wa Asha na Yanga Princess utadumu mpaka mwaka 2021.