Home Blog Page 2790
Mjumbe wa Baraza la Wazee Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali ‘Mzee Akilimali’ ambaye ni Katibu ameunga mkono hoja ya Rostam na kusema Yanga haiwezi kumilikiwa na mtu mmoja.“Kwa kweli mimi nimefurahishwa na kauli ya Rostam na ninamkubali sana kwani klabu...
Yanga imezidi kuboresha makali ya kikosi chake kuelekea msimu ujao kwa kukamilisha usajili wa mchezaji Mapinduzi Balama kutoka Alliance Schools ya Mwanza kwa mkataba wa miaka mitatu.
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike alivyofunguka kuhusiana na maandalizi ya mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Senegal, mbali na Amunike, aidha, Nahodha wa timu, Mbwana Samatta naye amefunguka yake ya moyoni.
Tazama uwezo wa beki Ally Allu aliyesajiliwa na Yanga kutokea KMC FC na kusaini mkataba wa miaka miwili.
Jumatano hii mruhusu mwanao afurahie Aladdin kupitia chaneli ya Mambo Moto 140 inayopatikana kuanzia kifurushi cha Shangwe 31,000/= tu ndani ya @dstvtanzania pekee.Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi ili usikose burudani...
Timu ya Taifa ya Uganda imeanza michuano ya AFCON kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Congo.Uganda imejipatia mabao yake kupitia kwa Patrick Kaddu dakika ya 14 na Emmanuel Okwi mnamo dakika ya 48.Ushindi wa Uganda unaifanya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS