HELA inaongea nyie! Mwekezaji Mkuu wa Simba bilionea, Mohammed Dewji, amezuia jaribio la kiungo wake mkabaji, Said Ndemla la kwenda kusaini kwa watani wao wa jadi, Yanga.Hiyo, ikiwa ni siku chache kabla ya kiungo huyo kwenda kucheza mchezo wa...
BAADA ya ukimya wa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mwanamuziki wa Dansi, Christian Bella ameibuka na kueleza sababu kuwa katika maisha yake hapendi kukurupuka kwenye kazi kwani anapenda akitoa wimbo uwe bora na siyo kubabaisha.Akizungumza na Risasi Jumamosi,...
MAN United inasemekana ipo kwenye hatua za mwisho za kumsajili beki wa Crystal Palace, Aaron Wan-bissaka, ambaye wamekuwa wanamfukuzia wa muda mrefu.Muda mwingi wa msimu wa 2018, Manchester United imekuwa inatajwa kumwania WanBissaka, ambaye anang’ara kama beki wa pembeni.Wan-Bissaka...
KIPA Juma Kaseja ‘Tanzania One’ ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu yake ya KMC aliyoichezea msimu uliopita.Kaseja amesaini mkataba huo leo Jumamosi huku ukiwa ni mwendelezo wa timu hiyo kubakiza nyota wake ambao waliokuwa nao msimu uliopita.Akiwa...
Kiungo Mapinduzi Balama amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Yanga.Kiungo huyo amefikia makuabliano na Yanga akitokea Alliance FC ya Mwanza.Usajili huo unaendelea ikiwa ni moja ya maboresho yanayofanywa na uongozi wa klabu ili kujiandaa kuelekea msimu...
HAINA kuremba kesho aisee, kwani Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta wamejipanga kuhakikisha wanashinda mechi yao ya kwanza mbele ya Senegal.Stars kesho itacheza kwa mara ya kwanza michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon)...
AKIWA bado anaandamwa katika mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuvunjika kwa uhusiano wake na msanii mwenzake, Juma Khalid ‘Jux’, staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema kuwa hawezi kumzuia mtu kusema chochote juu yao.Akizungumza na Showbiz,...
HATIMAYE hoteli ya kitalii ya Snowcrest,iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, imefilisiwa rasmi baada ya kushindwa kujiendesha kutokana na madeni mbalimbali makubwa inayodaiwa na taasisi za kifedha na watu binafsi yanayofikia kiasi cha sh. bilioni 14.Hotel hiyo ambayo iliwahi...
Kocha wa liver, Jurgen Klopp amechimba mkwara kuwa timu yake itashusha mastaa wengine wa hatari ili kuimarisha timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao. Liverpool katika siku za karibuni imekuwa miongoni mwa timu zinazomwaga fedha nyingi katika usajili.Klopp alisema...