Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita kutangaza kuipa Yanga uwanja maeneo ya Kigamboni jijini Dar. Makonda alitoa ahadi hiyo katika hafla ya Kubwa Kuliko ambapo Yanga iliendesha harambee ya kuichangia klabu yao. JUNI 20, 2019 baada ya Ofisa...
Baada ya kuwapa Yanga eneo la kujenga Uwanja, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa maagizo ya kuhakikisha kuwa uwanja huo unajengwa.Hatua hiyo imekuja mara baada ya kutoa uwanja huo na kutoa maagizo hayo ili kazi...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema alibezwa na baadhi ya watu alipotangaza kuipa Yanga eneo.“Wapo waliosema nawapa eneo la Manji (Yusuf aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga ambaye alitangaza kuwapa eneo Gezaulole).“Kila mmoja aliongea lake, ilikuwa ni...
Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 yaliyopatikana kwa njia ya penati dhidi ya Gwambina FC jijini Mwanza.Ushindi huo umepatikana kufuatia dakika 90 kumalizika kwa sare ya 1-1 katika dakika 90 za mchezo.Walikuwa ni Gwambina FC walioanza kupata...
Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wameongeza nguvu katika safu yao ya ushambulizi baada ya kumsajili, Wilker Henrique da Silva kutoka nchini Brazil.Wilker amejiunga na mabingwa hao akitokea nchini Brazil.Uongozi wa Simba umesema umesaini mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji...
Klabu ya Simba imepanga kuwatema wachezaji saba wa kigeni ndani ya klabu hiyo, imeelezwa.Wachezaji wanaotajwa ni kiungo Haruna Niyonzima, James Kotea raia wa Ghana, Juuko Murshid na Emmanuel Okwi wa Uganda.Ikumbukwe kuwa wachezaji hao wote mikataba na klabu ya...
IMEBAINIKA kuwa Simba walikuwa wanawaonea wivu Yanga baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita kutangaza kuipa Yanga uwanja maeneo ya Kigamboni jijini Dar.Makonda alitoa ahadi hiyo katika hafla ya Kubwa Kuliko ambapo Yanga...
Na Saleh AllyMABINGWA wa soka Tanzania, Simbawamemchukua mmoja wa viungo bora kabisabarani Afrika, huyu ni Sharaf Eldin Shiboub AliAbdalrahman kutoka nchini Sudan.Sharaf ni raia wa Sudan ambaye alikuwaakiichezea Al Hilal, moja ya timu kubwa naklabu kongwe barani Afrika.Nilipata nafasi...
NA SALEH ALLYUSAJILI umekuwa ukipamba moto kwa kilaklabu kwa sasa. Kila upande unataka kujiwekavizuri kwa ajili ya msimu ujao.Hili si zoezi geni kutokea katika mchezo wasoka kwa kuwa kila baada ya msimu kwisha,taratibu za kujiimarisha kwa ajili ya msimu...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemruhusu beki wa timu ya soka ya taifa Taifa Stars, Hassan Kessy,kucheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Senegal, utakaofanyika Juni 23,katika Uwanja wa 30 June Cairo nchini Misri.Maamuzi hayo ya CAF ya kumruhusu Kessy...