NAHODHA wa Kenya, Victor Wanyama amewaonya wale wote wanaozibeza Harambee Stars na timu ya Taifa ya Tanzania katika kundi la Tatu la michuano ya CAN inayotaraji kuanza kutimua vumbi lake usiku wa Leo kwa wenyeji Misri kuwavaa...
MWENDO wa hesabu kali Kwa sasa ukizingatia kwamba tumekwama kwa muda wa miaka 39 tukishuhudia wengine wakionyesha maajabu yao kwenye michuano mikubwa ya Afcon sasa nasi tumepenya kwenye tundu la sindano. Nafasi hii adimu inapaswa itumiwe kwa unyenyekevu wa kipekee...
Baada ya kikosi cha Simba (U20) kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara, imeelezwa kuwa wachezaji wa timu hiyo wamevunja kambi.Kikosi cha vijana cha Simba kimevunja kambi kufuatia kutolipwa fedha zao za mahahara kwa...
BOSI wa benchi la ufundi la Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amewasisitiza viongozi wa timu hiyo kuwapa mikataba mipya kwa haraka wachezaji waliomo kikosini humo ambao wamemaliza na wapo kwenye malengo yake.Yanga hadi sasa tayari wameshawasajili wachezaji...
AKILI na mawazo ya mashabiki wengi wa soka hapa nchini vyote vimehamia nchini Misri ambako michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inatarajiwa kuanza leo Juni 21, mwaka huu.Kila mmoja hapa nyumbani naamini atakuwa akifuatilia kwa kina namna timu...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameahidi kutoa eneo la hekari 15 kwa shirikisho la soka nchini (TFF) kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha soka.Makonda ameyasema hayo wakati wa harambee ya kuichangia Taifa Stars iliyofanyika...
KIPINDI cha Spoti Hausi kimeendelea tena hewani ambapo wachambuzi wako wamekuletea mambo mengi, lakini kubwa ni uchambuzi wa kiungo wa Mbao aliyetajwa kuletwa Dar na Yanga.