UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla ya nyota wao saba ndani ya kikosi hicho kwa kandarasi ya miaka mitatu. KMC walianza kwa kumuongezea kandarasi ya miaka mitatu, Hassan Kabunda hivyo mkataba...
MABINGWA watetezi Simba hawapo nyuma kenye usajili kama ilivyo kwa wapinzani wao wa jadi Yanga namna wanavyoshusha mashine mpya.Msimu huu wao wamekuja na utaratibu mpya kabisa wanakwenda kwa muda ambapo kila ikifika majira ya saa saba wanaangusha jina la mchezaji...
NYOTA mpya wa klabu ya Yanga, mshambuliaji Juma Balinya amefunguka kwamba kwake hawazi sana nani ambaye ataanza naye kwenye pacha ya ushambuliaji ya timu hiyo, kwani anaamini atashirikiana naye vizuri na kuifanya kazi yake ya kufunga.Balinya aliyefunga mabao 19...
Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.Timu hiyo imepanga kufanya usajili bab kubwa katika kukiimarisha kikosi chao kinachojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu...
Mabingwa wa Soka Tanzania, Simba wameamua kuhamia nchini Brazil na kumsajili beki wa kati, Gerson Fraga Vieira.Vieira yuko nchini na imeelezwa ana uwezo wa kucheza pia kama kiungo mkabaji na Simba itakamilisha kila kitu kesho Alhamisi.Mbrazil huyo amewahi kukipiga...
Anaitwa Gerson Fraga Vieira (kazaliwa tarehe 4 Oktoba 1992), unaweza muita Gerson pia, ni Mbrazili anayecheza soka la kulipwa nchini India katika klabu ya ATK, akicheza nafasi ya beki.Je ndiye ambaye analelekea kutua katiks klabu ya Simba...
Mkazi wa Kinondoni Bwana Bakari Mustapha Salum, akikabidihiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 7 mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 za JackPot ya SportPesa.Kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa SportPesa...
Beki kiraka wa timu ya KMC, Ally Ally 'Mwarabu' amemalizana na uongozi wa Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwiliAlly amekuwa bora ndani ya KMC hali iliyomvutia Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera na kuacha maagizo kwamba naye aongezwe kwa...
IMEFAHAMIKA kwamba mido mpya wa Yanga, Kenny Ally ambaye anaichezea Singida United atalamba milioni 20 ikiwa ni sehemu yake ya usajili.Yanga watampata mido huyo wa Singida kilaini kabisa kutokana na usajili wake kukamilishwa kila kitu na Mbunge wa Iramba...
UONGOZI wa Yanga umekanusha tetesi za kiungo wao wa zamani Mnyarwanda, Haruna Niyonzima kuwa anaweza kujiunga tena na timu hiyo.Taarifa hizo zilianza kuzagaa juzi mitandaoni wakati tamasha lao kubwa la ‘Kubwa Kuliko’ likiwa linaendelea kwenye Ukumbi wa Dimaond Jubilee,...