Home Blog Page 2810
UONGOZI wa Yanga upo kwenye taratibu za mwisho za kumbakisha kiungo wake mshambuliaji, Ibrahim Ajibu huku mama yake akihusishwa.Ajibu anaelezwa kumalizana na Simba akisaini dau la Shilingi Milioni 100 na tayari ametanguliziwa kishika uchumba cha Shilingi Milioni 20 ili...
IMEELEZWA kuwa vuguvugu la kumtafuta meneja ndani ya kikosi cha Chelsea kwa sasa linamhusisha Jose Mourinho ambaye amewahi kukinoa kikosi hicho kwa mafanikio kabla ya kupigwa chini.Kwa sasa Chelsea wanatafuta meneja kutokana na Maurizio Sarri kuhusishwa kujiunga na Juventus.Menaja...
ERASTO Nyoni, beki kiraka wa Simba rasmi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo.Nyoni anakuwa ni mchezaji wa tatu kwa Simba kutangazwa kwamba ameongeza mkataba wa kuitumikia klabu hiyo ambayo maskani yake yapo mitaa ya Msimbazi, Dar.Wachezaji...
UONGOZI wa Azam FC leo umemtangaza rasmi kocha Etienne Ndayiragije  aliyekuwa KMC kuwa kocha wao mpya kwa msimu wa 2019/20.Akizungumza mara baada ya kutambulishwa, Ndayiragije amesema kuwa sababu kubwa iliyomuondoa KMC ni maamuzi yake binafsi pamoja na maisha ya soka...
meelezwa kuwa uongozi wa Yanga umeamua kubadili gia angani kwa kuanza mazungumzo ya kumuogezea mkataba kiungo wao Ibrahim Ajibu ambaye mkataba wake umememalizika ndani ya Yanga.Taarifa imeeleza kuwa kwa sasa Ajibu yupo kwenye mazungumzo na Yanga ili kuona namna...
Timu ya taifa ya Kenya na Uganda wametangaza vikosi vyao vya wachezaji 23 vitakavyoshiriki fainali za mataifa ya Afrika 2019 nchini Misri.Kenya wapo Kundi C na timu za Tanzania, Algeria na Senegal ambapo wao walikuwa nchini Ufaransa kuweka kambi...
Muda mfupi ujao Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, litazindua jezi mpya kwaajili yat timu ya Taifa Tanzania katika michuano ya Mataifa ya Afrika huko Misri.Tutawaletea hapa pia picha zakeā€¦.The post Jezi za taifa stars kuzinduliwa leo appeared...
IMEELEZWA kuwa kwa sasa kikosi cha Simba kinafanya usajili wa kimyakimya na mpango wake mkubwa ni kufanya maboresho kwenye kikosi chao kwenye michuano ya kimataifa.Mpaka sasa ni wachezaji wawili tu ambao wameongezewa mkataba kwenye kikosi hicho ambao ni John...
TIMU ya Taifa ya Tanzania kwa sasa ipo nchini Misri ambapo imeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza Juni 21.Kikosi kilikuwa na jumla ya wachezaji 39 awali ambapo mchujo wa kwanza ulichuja wachezaji saba...
NYOTA wa kikosi cha Mwadui FC, Salum Aiyee mambo yamezidi kumyokea kwake ambapo imeelezwa kuwa kwa sasa amewekwa kwenye mawindo na timu kama tano za Ulaya ambazo zinahitaji saini yake.Kwa sasa Aiyee amemaliza mkataba na Mwadui anaskilizia ofa ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS