IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu ambayo amewahi kuichezea na Lipuli FC.Salamba amekuwa akitajwa kuwa ni mchezaji wa simba ambaye Kocha Patrick Aussems hana mpango...
KMC ambayo imepata nafasi ya dezo ya kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao iko kwenye mazungumzo na Kocha wa zamani wa Simba na sasa Lipuli, Seleman Matola.Dili hilo limeanza baada ya KMC kushtukia kwamba Kocha wao wa sasa Etiene...
MABOSI wapya wa Yanga wamefanikisha mipango ya kumuongezea mkataba wa miaka mitatu beki wake, GadielMichael ambaye ilikuwa kiduchu tu asaini Simba.Dau alilowekewa mezani beki huyo lilikuwa ni Shilingi Milioni 40 na mshahara wa Milioni tatu. Habari za uhakika zinasema kuwa...
MAMBO yamemnyokea mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa baada ya kuelewana na kukubaliana kusaini mkataba wake mpya na klabu hiyo tukio ambalo litafanyika Jumamosi.Awali Chirwa ambaye ni Mzambia ligoma kusaini mkataba mpya na klabu hiyo na inatajwa kuwa malengo...
BAADA ya dili la Ibrahim Ajibu Migomba kutoka Yanga kwenda TP Mazembe ya DR Congo kufeli, mapya yamevuja. Kumbe mshikaji alitaka Mil 20 kwa mwezi.Mmoja wa makomandoo maarufu wa TP Mazembe, Patrick Mazembe, ameliambia Spoti Xtra kuwa; “Unajua wachezaji...
UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa hamna namna ya kuwazuia kubaki ndani ya Ligi Kuu msimu ujao kutokana na hasira walizonazo za kubaki ndani ya ligi ili waendeleze ubabe wao kwa Simba kwa kuwatungua nje ndani.Kagera Sugar ilishushwa kimakosa...
MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC,ambaye ni kinara wa utupiaji mabao kwa wazawa ndani ya ligi kuu msimu wa 2018/19 Salim Aiyee amesema kuwa watapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao wa mwisho ili kubaki kwenye ligi.Mwadui FC inacheza playoff na Geita,...
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza imekabidhi rasmi Bendera ya Taifa kwa Nahodha wa kikosi cha timu ya Tanzania ‘Taifa Stras, Mbwana Samatta, ambao wanaondokamapema kesho kwenda Misri kwa ajili ya michuano ya...
OFISA Habari wa kikosi cha Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kwa sasa wanajipanga kusuka upya kikosi cha maangamizi msimu ujao ili wafikie malengo.Ruvu Shooting msimu wa mwaka 2018/19 walikuwa kwenye hatihati ya kushuka daraja kutokana na kuwa na...
Mtandao maarufu wa The Sun wa nchini Uingereza umeripoti kuwa klabu nne zinahitaji huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta (26) anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubeligiji.Aston Villa(Timu iliopanda ligi kuu msimu huu), Leicester, Watford na Burnley ni...