Uongozi wa klabu ya Yanga umemalizana na beki Lamine Moro kwa kusaini mkataba wa miaka miwili.Moro ambaye ni raia wa Ghana, ambaye aliwahi kuja Simba kufanyiwa majaribio kipindi cha michuano ya SportPesa CUP, amefikia mwafaka kwa kusajiliwa na Yanga.Beki...
LIGI Kuu Bara imeisha kiubishi kwa kuwa tumeshuhudia namna ilivyokuwa inakwenda kwa mwendo wa kuchechemea ila mwisho wa siku mshindi kapatikana.Simba anapaswa pongezi kwa kutetea ubingwa wake msimu huu kwani haikuwa rahisi kufikia malengo ambayo amejiwekea hivyo ni muda...
IMEEELEZWA kwamba uongozi wa Yanga umeanza mazungumzo na beki wa kikosi cha KMC, Ally Ally 'Mwarabu' ili kupata saini yake msimu ujao.Mwarabu amekuwa kiongozi ndani ya KMC na kuifanya safu ya ulinzi kuwa kisiki kwani KMC imekuwa ni namba...
UONGOZI wa Alliance FC ya mkoani Mwanza umesema kuwa msimu ujao lazima wawe moto hasa kwa kuwapata wachezaji wenye uzoefu watakoongeza nguvu kwenye kikosi chao.Alliance walianza kwa kusuasua msimu huu kabla ya kufanya maboresho kwenye kikosi chao kwa kuleta...
KOCHA Maurizio Sarri, ambaye ametwaa kombe la Europa League msimu huu akiwa na Chelsea, inasemekana ameshafikia muafaka na Juventus kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kwa msimu ujao wa 2019/20.Juventus inataka kumchukua Sarri kutoka Chelsea ili kuchukua nafasi ya...
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa wametumia mbinu moja kubwa ikiwa ni pamoja na mchezo wao dhidi ya Yanga kuandaa kikosi cha mauaji dhidi ya Lipuli.Mchezo wa mwisho wa Azam kwenye ligi walicheza na Yanga na kuibuka na ushindi...
IMEELEZWA Kuwa baada ya mshambuliaji wa Azam FC, Obrey Chirwa kuigomea klabu hiyo kuongeza mkataba mpya ndani ya klabu hiyo ameanza mazungumzo na kikosi cha Yanga ili kujiunga nao msimu ujao.Taarifa kutokana ndani ya Yanga zimeeleza kuwa Chirwa amekuwa...
Harakati za usajili wa Yanga zinaendelea kwa kasi kwa ajili ya kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao , baada ya kuteseka sana msimu huu.Imedhibitishwa rasmi kuwa Yanga imemsajili kiungo wa APR, Issa Birigimana ambaye huitwa Theo Walcot...
Eden Hazard, baada ya kutimiza jukumu lake ndani ya kikosi hicho kutwaa kombe la Europa League kwa kuifunga Arsenal mabao 4-1, amesema kuwa anataka kwenda Real Madrid. Hazard alifunga mabao 2 kati ya mabao 4-1 ambayo wameshinda mbele ya Arsenal na...
BAADA ya jana bodi ya Ligi kuweka usawa na kukubali kwamba wameboronga kwenye suala la kukusanya data za matokeo ya mchezo wa Stand United na Kagera Sugar kisha kuishusha Kagera Sugar kabla ya kuipanisha tena Uongozi wa Ruvu Shooting...