Home Blog Page 2838
MASHABIKI wa Simba leo wameungana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi kuipokea timu kutoka Morogoro ikiwa imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Mashabiki hao leo walikuwa wamejitokeza wakiwa na bodaboda zao na kuwafanya baaadhi ya wachezaji akiwemo mlinda mlango...
KIKOSI cha nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Mbwana Samatta kitakachoshuka uwanja wa Taifa Juni 2 kumenyana na kikosi cha mshambuliaji wa Coastal Union na mwana bongofleva, Ally Kiba 'KingKiba'. Juma Kaseja - KMCKelvin John- Serengeti BoysKelvin...
MABOSI wa Simba wameuweka pembeni mkataba wa Emmanuel Okwi kwa kile kilichotajwa kutaka dau kubwa la usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Mganda huyo hivi karibuni aliwaaga mashabiki wa timu hiyo kwa kupitia mtandao wa kijamii...
SERIKALI imesema itaendelea kumsaidia kwa hali na mali Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, anayechezea Klabu ya Genk ya Nchini Ubelgiji Mbwana Samatta ili kuhakikisha kuwa anafungua milango ya uwekezaji na kuiweka juu ramani ya Soka...
Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imetangaza kufanya marekebisho katika msimamo wa Ligi Kuu Bara huku ikisema itachukua hatua kwa watunza takwimu wake waliopotosha.Awali ilionekana Kagera Sugar ndio imeteremka lakini Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema marekebisho waliyofanya...
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Baada ya sintofahamu kutokea jana wakati ligi ilipomalizka. Stand United ya Shinyanga  wameshuka daraja baada ya kufungwa na JKT Tanzania kwa goli 2-0 na JKT...
Mshambuliaji wa Manchester United Mbelgiji Romelo Lukaku upo tayari kukatwa mshahara ili ahamie klabu ya Inter Milan hivi karibuni. (Gazzetta dello Sport)Kocha wa Man United Ole Gunnar Solskjaer ameipa klabu yake muda mpaka mwakani kuuza wachezaji wote asiowataka ikiwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS